Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Kipikikusikitishacho --- vipo vingi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio mimi!! mwingine picha kivuli. a.k.a photocopy.. wazeiya, nchi yetu imekuwa ikibadilika siku kwenda siku... mikoa inagawanywajeee...! unaweza kuwa leo shinyanga, kesho unaamka uko KATAVI. mzee Katavi, sijamaanisha wewe mkuu, usinielewe vibaya.! basi naomba tuipitie japo kwa hara hara mikoa yetu yoooote ile mipya na ile mikuu kuu...! pamoja na wilaya zake zooote!!! MKOA HALMASHAURI.
1. kusini pemba 2
2. kaskazini pemba 2
3. kaskazini unguja 2
4. kusini unguja 2
5. mjini magharibi 2
6. tanga 8
7. kilimanjaro 7
8. manyara 5
9. arusha 6
10. mara 7
11. mwanza 7
12. geita 6
13. kagera 8
14. kigoma 7
15. katavi 3
16. rukwa 4
17. tabora 7
18. shinyanga 5
19. simiyu 5
20. singida 6
21. dodoma 7
22. morogoro 7
23. pwani 6
24. dar es salaam 3
25. lindi 6
26. mtwara 6
27. ruvuma 6
28. njombe 5
29. mbeya 10
30. iringa 4
JUMLA YA WILAYA/HALMASHAURI NI 161.. MIKOA NAYO NDIO HIOO.. 30!
Jamani nawakaribisheni nyote mtambue mlikotoka, na mabadiliko yalivyofanyika!
HABARI ZIWAFIKIE; Heaven on earth lara 1 Katavi Mwita Maranya mpigamsuli AllenMwita Baba V Mtambuzi King'asti Mapi Mchwechwele fisi 2 The Boss watu8 kalou Blaine Jestina Invisible Madame B madame x Dr.Mo snowhite kama wewe hekima tele segere Smile Lizzy mzito mkabwela kamati Gefu Munkari mdesi Mashaxizo miss strong Mtende julius mahinya Ngalikihinja OLESAIDIMU jumalesso Arushaone Crashwise Khakhi Bangu-silo Makanyaga Mokoyo christine ibrahim daviey69 gogo la shamba Marire Naibili Mkoroshokigoli nndondo Tanganyika TANU Haki na amani Salary Slip babtutu mdeki handsome one MD25 Khakha Pasco Eshacky MwanaHaki salimkabora NA WENGINEO WOTE JAMANI....
PLEASE naombeni mtutajieni wilaya za mikoa mtokayo! hodi hodi JF...
Yours, kipikikusikitishacho
ahsante mkuu Globu kwa 'welcome' yako.. Haka ka 'kuku' ndo nakaangaza jukwaa fulani hivi..
Cc; lara 1, Heaven on earth and miss strong ... Habari zenu wakubwa!
you know what? miss strong, you are among the dadaz i like most here..! take it serious!Kunani tena mkuu kipikikusikitishacho..............
mkuu awaji hao mpaka uingize sifa za mapenzi kidogo uone wanavyojaa usiniulize wanapotokeandio mimi!! mwingine picha kivuli. a.k.a photocopy.. wazeiya, nchi yetu imekuwa ikibadilika siku kwenda siku... mikoa inagawanywajeee...! unaweza kuwa leo shinyanga, kesho unaamka uko KATAVI. mzee Katavi, sijamaanisha wewe mkuu, usinielewe vibaya.! basi naomba tuipitie japo kwa hara hara mikoa yetu yoooote ile mipya na ile mikuu kuu...! pamoja na wilaya zake zooote!!! MKOA HALMASHAURI.
1. kusini pemba 2
2. kaskazini pemba 2
3. kaskazini unguja 2
4. kusini unguja 2
5. mjini magharibi 2
6. tanga 8
7. kilimanjaro 7
8. manyara 5
9. arusha 6
10. mara 7
11. mwanza 7
12. geita 6
13. kagera 8
14. kigoma 7
15. katavi 3
16. rukwa 4
17. tabora 7
18. shinyanga 5
19. simiyu 5
20. singida 6
21. dodoma 7
22. morogoro 7
23. pwani 6
24. dar es salaam 3
25. lindi 6
26. mtwara 6
27. ruvuma 6
28. njombe 5
29. mbeya 10
30. iringa 4
JUMLA YA WILAYA/HALMASHAURI NI 161.. MIKOA NAYO NDIO HIOO.. 30!
Jamani nawakaribisheni nyote mtambue mlikotoka, na mabadiliko yalivyofanyika!
HABARI ZIWAFIKIE; Heaven on earth lara 1 Katavi Mwita Maranya mpigamsuli AllenMwita Baba V Mtambuzi King'asti Mapi Mchwechwele fisi 2 The Boss watu8 kalou Blaine Jestina Invisible Madame B madame x Dr.Mo snowhite kama wewe hekima tele segere Smile Lizzy mzito mkabwela kamati Gefu Munkari mdesi Mashaxizo miss strong Mtende julius mahinya Ngalikihinja OLESAIDIMU jumalesso Arushaone Crashwise Khakhi Bangu-silo Makanyaga Mokoyo christine ibrahim daviey69 gogo la shamba Marire Naibili Mkoroshokigoli nndondo Tanganyika TANU Haki na amani Salary Slip babtutu mdeki handsome one MD25 Khakha Pasco Eshacky MwanaHaki salimkabora NA WENGINEO WOTE JAMANI....
PLEASE naombeni mtutajieni wilaya za mikoa mtokayo! hodi hodi JF...
Yours, kipikikusikitishacho
usijali kaka! naamini siku likimlipukia mtu mlangoni... ndo watashtuka!mkuu awaji hao mpaka uingize sifa za mapenzi kidogo uone wanavyojaa usiniulize wanapotokea
duh!! tata Mwita Maranya ndio unanianika mpaka ndani?Hivi haya majawabu mnayompa huyu ndugu yangu mwanaserengeti mwenzangu kutoka Ngoreme kipikikusikitishacho ndio kusema mmeipotezea hoja yake au ndio kusema jiografia imewapita wengi kisogoni!?
mkuu Angel Nylon hebu funguka kidogo hapo.. talk openly as our policy is!Kipikikusikitishacho --- vipo vingi tu
mkuu Angel Nylon hebu funguka kidogo hapo.. talk openly as our policy is!
Pdidy umenichekeshajeee? Hebu jadili wilaya na mikoa mipya bana! Mie mpaka nilikawa sijui Tanzania ina mikoa mingapi baada ya ile 25 tuliyoizoea kuanza kuzaana. Lol!mkuu awaji hao mpaka uingize sifa za mapenzi kidogo uone wanavyojaa usiniulize wanapotokea
Kwa kweli mie itabidi nirudi darasa la nne kujifunza upya jiografia. Siku hizi mikoa ya Tanzania inazaa kama wale ng'ombe wa kule kwa wakwe zangu Tarime! Ukikaa kidogo unasikia mkoa flani umezaa mkoa mpya. Na mkoa mpya unazaa wilaya kibao! Dah! Mpaka JK na mtoto wa mkulima a.k.a mfalme wa nyuki watoke madarakani sijui tutakuwa na mikoa mingapi? Maana ndugu na jamaa wa kuwapa ukuu wa mikoa na wilaya bado wapo wengi sana.Hivi haya majawabu mnayompa huyu ndugu yangu mwanaserengeti mwenzangu kutoka Ngoreme kipikikusikitishacho ndio kusema mmeipotezea hoja yake au ndio kusema jiografia imewapita wengi kisogoni!?
wakuu naombeni tena turudi hapa tujadiliane!!!!!!! this is the time to bring changes to our country!!!!! kwanini huyu 'coconut head' anafanya maamuzi 'gesi' namna hii?. OHHHHH TANZANIA!! nilishangaa sana pale obama alipokuja bongo...! eti barabara zooote zikawa foleni..!! rais akalindwa na wazungu!! JE bwana mkubwa akiendaga kule 'new york' huwaga anabadilishiwa walinzi?!!!!!! na je, barabara huwa zinakuwa na foleni?... sijui kama tunaelewana hapa jamani!!! kuna vitu fulani vimejificha hapa!!! bado nagonga hodi JF!! cc: Katavi, Mzizi mkavu, Perry, miss strong, lara 1, Erickb52, Pdidy, mwaJ, Gefu, watu8, Heaven on earth, heaven on desert, Mwita Maranya, mojoki, Kiwi, Khakhi, Kibibi Jongo, Sikonge, mshana jr, crome20, Dina, KOKUTONA, Elungata, B'REAL, mwekundu, Yazoo, Ngalikihinja, dad24, MESTOD, alitu8, the Amercan dream, Darling john, paradiso, BAK, Memo, faby, DEMBA, mwanaupepo, Memo, asigwa, msemakweli2, Grace Komba, Tamatheo ............. and all others! mimi bado nipo...! nchi hii naiona tu, ukiongeaaa.. unasingiziwa ulawiti!