Je! Waijua mikoa yako na wilaya zake jamani??? hodi hodi JF!!!...

Je! Waijua mikoa yako na wilaya zake jamani??? hodi hodi JF!!!...

Huyu alikuwa ni GUEST hapa JF kwa miaka kadhaa kabla ya kujiunga hivi karibuni............

karibu sana mkuu KPKKSKTSC

Hapo kwenye bold, nishapata id my. Thanks mkuu.
 
Jamani najua tu umenisahau kwa bahati mbaya;
Karibu sana sana mwaya.
 
wakuu naombeni tena turudi hapa tujadiliane!!!!!!! this is the time to bring changes to our country!!!!! kwanini huyu 'coconut head' anafanya maamuzi 'gesi' namna hii?. OHHHHH TANZANIA!! nilishangaa sana pale obama alipokuja bongo...! eti barabara zooote zikawa foleni..!! rais akalindwa na wazungu!! JE bwana mkubwa akiendaga kule 'new york' huwaga anabadilishiwa walinzi?!!!!!! na je, barabara huwa zinakuwa na foleni?... sijui kama tunaelewana hapa jamani!!! kuna vitu fulani vimejificha hapa!!! bado nagonga hodi JF!! cc: Katavi, Mzizi mkavu, Perry, miss strong, lara 1, Erickb52, Pdidy, mwaJ, Gefu, watu8, Heaven on earth, heaven on desert, Mwita Maranya, mojoki, Kiwi, Khakhi, Kibibi Jongo, Sikonge, mshana jr, crome20, Dina, KOKUTONA, Elungata, B'REAL, mwekundu, Yazoo, Ngalikihinja, dad24, MESTOD, alitu8, the Amercan dream, Darling john, paradiso, BAK, Memo, faby, DEMBA, mwanaupepo, Memo, asigwa, msemakweli2, Grace Komba, Tamatheo ............. and all others! mimi bado nipo...! nchi hii naiona tu, ukiongeaaa.. unasingiziwa ulawiti!
mkuu kipikikusikitishacho umetisherrry karibu sana bana hapa where we dare to talk openly
 
Last edited by a moderator:
Naona umekuwa na speed kaaali kweli kweli;
Angalia mengine ni makoloni ya mabepari humu[
Utakuja wekewa vikwazo na imf ushindwe hata kukatisha mtaa wa pili.

QUOTE=kipikikusikitishacho;7233702]


ni kweli kabisa mkuu Mamndenyi, sijaweza ku-mention members wote.... ila mbona sijapata ukaribisho wa lara 1 jamani?[/QUOTE]​
 
ndio mimi!! mwingine picha kivuli. a.k.a photocopy.. wazeiya, nchi yetu imekuwa ikibadilika siku kwenda siku... mikoa inagawanywajeee...! unaweza kuwa leo shinyanga, kesho unaamka uko KATAVI. mzee Katavi, sijamaanisha wewe mkuu, usinielewe vibaya.! basi naomba tuipitie japo kwa hara hara mikoa yetu yoooote ile mipya na ile mikuu kuu...! pamoja na wilaya zake zooote!!! MKOA HALMASHAURI.

1. kusini pemba 2

2. kaskazini pemba 2

3. kaskazini unguja 2

4. kusini unguja 2

5. mjini magharibi 2

6. tanga 8

7. kilimanjaro 7

8. manyara 5

9. arusha 6

10. mara 7

11. mwanza 7

12. geita 6

13. kagera 8

14. kigoma 7

15. katavi 3

16. rukwa 4

17. tabora 7

18. shinyanga 5

19. simiyu 5

20. singida 6

21. dodoma 7

22. morogoro 7

23. pwani 6

24. dar es salaam 3

25. lindi 6

26. mtwara 6

27. ruvuma 6

28. njombe 5

29. mbeya 10

30. iringa 4

JUMLA YA WILAYA/HALMASHAURI NI 161.. MIKOA NAYO NDIO HIOO.. 30!

Jamani nawakaribisheni nyote mtambue mlikotoka, na mabadiliko yalivyofanyika!

HABARI ZIWAFIKIE; Heaven on earth lara 1 Katavi Mwita Maranya mpigamsuli AllenMwita Baba V Mtambuzi King'asti Mapi Mchwechwele fisi 2 The Boss watu8 kalou Blaine Jestina Invisible Madame B madame x Dr.Mo snowhite kama wewe hekima tele segere Smile Lizzy mzito mkabwela kamati Gefu Munkari mdesi Mashaxizo miss strong Mtende julius mahinya Ngalikihinja OLESAIDIMU jumalesso Arushaone Crashwise Khakhi Bangu-silo Makanyaga Mokoyo christine ibrahim daviey69 gogo la shamba Marire Naibili Mkoroshokigoli nndondo Tanganyika TANU Haki na amani Salary Slip babtutu mdeki handsome one MD25 Khakha Pasco Eshacky MwanaHaki salimkabora NA WENGINEO WOTE JAMANI....

PLEASE naombeni mtutajieni wilaya za mikoa mtokayo! hodi hodi JF...

Yours, kipikikusikitishacho

Lindi

NACHINGWE
LIWALE
KILWA
LINDI VIJIJINI
LINDI MANISPAA
RUANGWA
 
Back
Top Bottom