Je! Waijua mikoa yako na wilaya zake jamani??? hodi hodi JF!!!...

mkuu julius mahinya, punguza hasira! hii ndiyo Tanzania inayoongozwa na coconut head
Hatuna jinsi yalisha mwagika japo tunayo nafasi kujipanga! Nivizuri kuamini mabadiliko chanya hatujafikia ni lazima kuungana wenye mawazo yanayorandana kuleta mabadiliko kwa vizazi vyetu!
Mwenyewe ndoto zangu naamini zimekufa ntalithisha mwanangu utawala ukibadilika! macho yao hayaoni, wala masikio kusikia,hata ngozi haihisi kama ubongo usivyo wa rutuba! nishie hapo nisiwatoneshe vidonda watanzania!
 
ku-mention ni rahis bwana Katavi.. hii nyingine naona ni technology ya wachache!!! usijali lakn kwa usumbufu!

Usijali aisee......kama unatumia PC hapo mbele ya Reply With Quote kuna kijialama "+ ukiminya hapo kwa kila post unayotaka kui-quote nadhani utafanikiwa.....
 
Usijali aisee......kama unatumia PC hapo mbele ya Reply With Quote kuna kijialama "+ ukiminya hapo kwa kila post unayotaka kui-quote nadhani utafanikiwa.....
ahsante mkuu Katavi.. wacha kwanza nipate juice ya ukwaju, then nifanye hii kitu!
 
Last edited by a moderator:
mr julius mahinya, this issue is really painful! hivi kuna haja gani, kwa mfano mtu unaoa mke wa pili wakati yule wa kwanza umeshindwa kumhudumia?! namshangaa sana huyu jamaa yetu aliyepanga kule magogoni!
 
Hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho! worry out together tutafanikiwa kuikomboa nchi yetu toka mikononi mwa mafisadi!
 
umeona mkuu OLESAIDIMU,! yani Smile ananitega sana, mimi mwenyewe mwindaji.. ntaogopaje mshale? jamani mbona nikigonga like hairespond?

Hahaaaa hapa ndo jamvini mkuu utapata watani,mashangazi,wajomba yaaan watu wote wapo hapa cha maana heshimu wote japo huwaoni.
 
Last edited by a moderator:
mwandiko/handwriting yako sio ngeni saaana.....nway karibu
 
Mr Invisible hebu tupatie list ya waliokula ban tufanye ulinganishi
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana mjukuu hapa JF,jinalangu linaakisi wilaya yangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…