Je! Waijua mikoa yako na wilaya zake jamani??? hodi hodi JF!!!...


mi i like arusha,mwanza, tanga na kilimanjaro
 
Hivi haya majawabu mnayompa huyu ndugu yangu mwanaserengeti mwenzangu kutoka Ngoreme kipikikusikitishacho ndio kusema mmeipotezea hoja yake au ndio kusema jiografia imewapita wengi kisogoni!?
 
Last edited by a moderator:
wakuu naombeni tena turudi hapa tujadiliane!!!!!!! this is the time to bring changes to our country!!!!! kwanini huyu 'coconut head' anafanya maamuzi 'gesi' namna hii?. OHHHHH TANZANIA!! nilishangaa sana pale obama alipokuja bongo...! eti barabara zooote zikawa foleni..!! rais akalindwa na wazungu!! JE bwana mkubwa akiendaga kule 'new york' huwaga anabadilishiwa walinzi?!!!!!! na je, barabara huwa zinakuwa na foleni?... sijui kama tunaelewana hapa jamani!!! kuna vitu fulani vimejificha hapa!!! bado nagonga hodi JF!! cc: Katavi, Mzizi mkavu, Perry, miss strong, lara 1, Erickb52, Pdidy, mwaJ, Gefu, watu8, Heaven on earth, heaven on desert, Mwita Maranya, mojoki, Kiwi, Khakhi, Kibibi Jongo, Sikonge, mshana jr, crome20, Dina, KOKUTONA, Elungata, B'REAL, mwekundu, Yazoo, Ngalikihinja, dad24, MESTOD, alitu8, the Amercan dream, Darling john, paradiso, BAK, Memo, faby, DEMBA, mwanaupepo, Memo, asigwa, msemakweli2, Grace Komba, Tamatheo ............. and all others! mimi bado nipo...! nchi hii naiona tu, ukiongeaaa.. unasingiziwa ulawiti!
 
Last edited by a moderator:
mkuu awaji hao mpaka uingize sifa za mapenzi kidogo uone wanavyojaa usiniulize wanapotokea
 
Ndugu, mipango ya nchi hii, kwa mtazamo wangu, iko mikononi mwa watu wachache tu. Na tatizo kubwa hao wachache wamefunikwa na kitu ambacho hakijagunduliwa duniani vinginevyo kingekuwa kimetolewa na wakaangalia mambo kwa mtazamo tofauti. Na baadhi ya hizo wilaya na mikoa zina wakuu ambao hapo hapo ni wabunge! Yaani gharama juu ya gharama.
 
mkuu awaji hao mpaka uingize sifa za mapenzi kidogo uone wanavyojaa usiniulize wanapotokea
Pdidy umenichekeshajeee? Hebu jadili wilaya na mikoa mipya bana! Mie mpaka nilikawa sijui Tanzania ina mikoa mingapi baada ya ile 25 tuliyoizoea kuanza kuzaana. Lol!
 
Last edited by a moderator:
Hivi haya majawabu mnayompa huyu ndugu yangu mwanaserengeti mwenzangu kutoka Ngoreme kipikikusikitishacho ndio kusema mmeipotezea hoja yake au ndio kusema jiografia imewapita wengi kisogoni!?
Kwa kweli mie itabidi nirudi darasa la nne kujifunza upya jiografia. Siku hizi mikoa ya Tanzania inazaa kama wale ng'ombe wa kule kwa wakwe zangu Tarime! Ukikaa kidogo unasikia mkoa flani umezaa mkoa mpya. Na mkoa mpya unazaa wilaya kibao! Dah! Mpaka JK na mtoto wa mkulima a.k.a mfalme wa nyuki watoke madarakani sijui tutakuwa na mikoa mingapi? Maana ndugu na jamaa wa kuwapa ukuu wa mikoa na wilaya bado wapo wengi sana.
 
Tangu jana nairudia zaidi ya mara 4 ila sijaambua kitu...Mkuu nishukuru kwa thread yako ila imeniendea kombo.
 

Hii ungeipeleka jukwaa husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…