Kunajisi watot na vitu kama ivyo ni tabia ya mtu mmja mmja nd maana kuna mashehe na ostadh wabakaji na wanaoharibu watot kule madrasa kwaiy ni tabia ya mtu mmja mmja tuHawa ni nani kama si mashoga in the church?
Nyie mnakataza mapastor wasioe ivi kweli inaingia akilini hii m.me rijali ale ashibe halafu akae tu bila ya m.ke ety hlf m.me uyo uyo atapelekewa kesi za ndoa wakati yy ata ndoa haijui [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Wataishia kuwanajisi watoto wenu mpaka mjue kua mumedanganywa View attachment 1984235
Waruhusuni wale mapastor waoe nyinyi au ndo mtaonekana mumebadilisha maandiko[emoji1][emoji1][emoji1]Kunajisi watot na vitu kama ivyo ni tabia ya mtu mmja mmja nd maana kuna mashehe na ostadh wabakaji na wanaoharibu watot kule madrasa kwaiy ni tabia ya mtu mmja mmja tu
nguruwe si haramu bali anaemla ndio amefanya kitendo cha gharamu. Na si nguruwe tu wapo wengine tuliokatazwa kuwala kama paka na mbwa.Nahisi kuna kutoelewana kwa taarifa na mapokeo ya kale (mafunzo ya dini )
Huyu mdudu sijaona kosa (uharamu) lake
[emoji41]
Hudhani!!?nguruwe anapata hedhiNguruwe anapata hedh kama mwanamke? Sidhani!!!! Kwaiy ukaamua koconclude mnyama kama uyo ni binadamu kwa sifa kama izo
Hii Koroani ndiyo kitu gani?Koroani haijaacha kitu,ipo wazi hajazuiwa kutumika kwa matumizi mengine zaidi ya kitoweo,kwa tiba anatumika vizuri tu.
Wabilahi tawfiq
Utajua hujui
Mapastor mbn wanaoa au huelewi unachoandika mkuuWaruhusuni wale mapastor waoe nyinyi au ndo mtaonekana mumebadilisha maandiko[emoji1][emoji1][emoji1]
Nipe ushahidi wa ilo aseeHudhani!!?nguruwe anapata hedhi
Yeremia 31:31 Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda.m naomba kuuliza kwanini kuna agano la kale na jipya?
Una Aya ndani ya Qurani inayosema nyama ya Paka na Mbwa ni haramu kuliwa kama ilivyo kwa Nguruwe Kibudu ?nguruwe si haramu bali anaemla ndio amefanya kitendo cha gharamu. Na si nguruwe tu wapo wengine tuliokatazwa kuwala kama paka na mbwa.
Poor youManake hata under emergency unaweza kumlala mzazi wako..poor afrikans.
#MaendeleoHayanaChama
nguruwe si haramu bali anaemla ndio amefanya kitendo cha gharamu. Na si nguruwe tu wapo wengine tuliokatazwa kuwala kama paka na mbwa.
Imesema yaliyopita, yanayoendelea na imesema kuhusu yajayo
Muislamu si sahihi kutumia kitu chochote kitokanacho na nguruwe, si nyama yake wala viungo vyake wala huduma yake. Huo ndiyo mtihani tuliyopewa watu wa vitabu.
Huko nyuma mayahudi waliambiwa siku ya Sabato wasifanye kazi iwe ni siku maalum ya ibada, kuna baadhi yao wakapewa mtihani wa kujiwa na samaki wengi siku ya Sabato, wakaamua kutega nyavu usiku wa Ijumaa na kwenda kuzitoa siku ya Jumapili asubuhi, hivyo Mungu akawakasirikia na kuwageuza nyani na nguruwe. Sasa huwenda hizi tafiti ni confirmation ya kuwa hao nguruwe wana vitu vyenye kuingiliana na binadamu (maghdhubi alayhim) waliyoghadhibikiwa na Mungu kwa ukaidi wao. Sasa wale wenye kula nguruwe huenda wakawa wanakula nyama za kizazi cha wanadamu waliyogeuzwa nguruwe.
Wale wakatoliki wanaoa? Yni nyie mumepotezwa mkapotezeka kweli kweli ila mkija kufa ndo mtajua dini ya haki ni ipiMapastor mbn wanaoa au huelewi unachoandika mkuu
We una chuki tu uislamu lkn nikwambie tu hao walokuleteeni iyo dini wao saivi wanasilimu kwa kasi huko nyie endeleeni kukumbatia tuu iyo dini ya watu. ivi kweli yni martin luther hakukubaliana na ukatoliki nae akaanzisha dhehebu lake la kilutheri yni nyinyi bhna ata hamfikirii kma mnadanganywa wazi wazi.Fungueni akili zenu vizuri izo ao wachungaji wenu mnawapatia sadaka zenu wanaendelea tuu kutumbua maisha huku nyinyi mkiendelea kutaabika maisha magumu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yni pesa yko mwenyewe ety mchungaji akwambie fungu la kumi lije kanisani dah poleni sana tena sanaaaJe Uislam ni dini ya Amani?
View attachment 1984824
Afya haina DiniTafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe,View attachment 1983581
Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,
Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?