Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Agano la kale liliwashinda waefeso wakaamua kuanzisha agano jipya lenye masharti nafuu.
kwaio wameanzisha biblia mpya kulingana na matamanio yao dah nashkuru kua muislamu ndo mna papa nae anataka kuanzisha ndoa za jinsia moja
 
Dah ila Mungu fundi kajua kuwakomoa awa watu. Ila imezuiliwa kuliwa tu.. organs hazijaandikwa kwenye Quran
Kuuelewa uislamu unataka kukaa chini usomeshwe sio kusikiliza porojo za watu
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Wanasema ukipandikizwa figo ya nguruwe ati unakua mwanaharamu...
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Wanasema ukipandikizwa figo ya nguruwe ati unakua mwanaharamu...
Hio umesema wewe.
Figo ya nguruwe inahusiana nini na kuchepuka?
Acheni kusingizia kiumbe asie na dhambi. Zinaa inaleta watoto wa haramu sio nguruwe
 
Sio Quran ni hadithi,
Actually inaruhusu kula chochote unapokuwa kwenye emegencies. under extreme emegiencies unaruhisiwa hata kula sehem yako ili usogeze siku za kuishi. Ndo maana mnaambiwa uislam ni dini iliyokamilika.
Under emegencies haram inageuka halali, hata talaka ni halali inayochukiza
Manake hata under emergency unaweza kumlala mzazi wako..poor afrikans.

#MaendeleoHayanaChama
 
Uislamu sivyo kama unavyofikiria wewe.Uislamu umekataza kula nguruwe,lakini ikiwa hakuna chakula kingine,na utakufa kwa njaa,unaruhusiwa kula ili usife na njaa.Kwa ufupi katika uislamu,kukiwa na dharura,ya kuweza kufariki,unaruhusiwa kuondoa kifo,kumponya aliye na tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kama umekalibia kufa ule ili uishi..na kama hakuna wanyama zaidi ya nguruwe si ndio imekua halali hiyo..manake mungu wenu hana msimamo..hataki mkapige wale mabikra 70 wenye mcho kama goroli..daah dini ni ulaibu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hio umesema wewe.
Figo ya nguruwe inahusiana nini na kuchepuka?
Acheni kusingizia kiumbe asie na dhambi. Zinaa inaleta watoto wa haramu sio nguruwe
Kuna wengine ngurume kwao ni haramu...

Ukimpandikiza hiyo anakua mwanaharamu...
 
Halafu nyie wakristo sijui kwann mnapenda sana kuwajadili waislamu
Yni humu post za dhihaka za uislamu zipo nyingi tuu lkn siku zte kizuri ndio hupenda kuongelewa kwaio m sishangai
Kwahiyo manapoongelea habari za shetani na matendo yake huko kwenye nyumba ya ibada..inaonyesha mnampenda?au anafanya mazuri?

#MaendeleoHayanaChama
 
Sawa kama umekalibia kufa ule ili uishi..na kama hakuna wanyama zaidi ya nguruwe si ndio imekua halali hiyo..manake mungu wenu hana msimamo..hataki mkapige wale mabikra 70 wenye mcho kama goroli..daah dini ni ulaibu.

#MaendeleoHayanaChama
Hakuna suala la mabikira 70,umedanganywa na ukadanganyika.Aliyekueleza ,alikuona huna elimu,ndio ikawa rahisi kukudanganya.Akili za kuambiwa changanya na zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa jamaa din yao bana. eti Mungu anatoa amri msile nguruwe. ila ukikutana na dharura porin hakuna chakula anakuruhusu ule. haram gafla halali.
Aiseee..mungu asiye na msimamo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakuna kiumbe ambacho mungu alikiumba kwa makosa. Kila kiumbe alichokiumba mungu kilikuwa chema machoni pake.

Hizi siasa chafu za dini zinamchafua mungu
 
subiri nikujibu mimi jpo sio niloleta hio mada
kuna msemo wa wahenga unasema kila.zama na kitabu chake
Taurat alishushiwa Mussa ili awaongoze wana wa israel na huo mstari unawahusu hao ila sisi ummati muhammad tumeletewa qurani ndo muongozo wetu kwaio iyo jmoc unayosema ww ni kipindi hicho cha wana wa israel sio sasa ivi
katika uislamu hakuna jumamosi ya mapumziko
Kwahiyo kwa kusema hivyo torati ya musa haitumiki katika uislamu?

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwahiyo kwa kusema hivyo torati ya musa haitumiki katika uislamu?

#MaendeleoHayanaChama
Kuna muda kumuelewesha mtu aliyekua na majibu tyr ni kazi ngumu mno mm simlazimishi mtu kuufuata uislamu lkn mtakuja kujua siku mkifa ndo utajua ipi dini ya haki
 
Kwenye kuwagawa makundi like form one,nguruwe yupo kundi moja na binadam,size ya moyo wake inakaribiana Sana na ya binadamu,damu yake inashabihiana Sana na ya binadamu,jike lake linapata hedhi Kama binadamu
Nguruwe anapata hedh kama mwanamke? Sidhani!!!! Kwaiy ukaamua koconclude mnyama kama uyo ni binadamu kwa sifa kama izo
 
subiri nikujibu mimi jpo sio niloleta hio mada
kuna msemo wa wahenga unasema kila.zama na kitabu chake
Taurat alishushiwa Mussa ili awaongoze wana wa israel na huo mstari unawahusu hao ila sisi ummati muhammad tumeletewa qurani ndo muongozo wetu kwaio iyo jmoc unayosema ww ni kipindi hicho cha wana wa israel sio sasa ivi
katika uislamu hakuna jumamosi ya mapumziko
Kwani iyo quotation hapo juu imetoka kwenye kitabu gani Mkuu
 
Back
Top Bottom