Ni katika mazingira ya kuokoa maisha hivyo hata hapo kwenye utabibu inawezekana, kwenye uislamu hakuna jambo lilowekewa ugumu kiasi cha kukosa suluhisho.... sawa sawa; kumbe kuna exceptions! It means anaweza kuwa kharam leo, kesho asiwe kharam kutokana na hayo "mazingira fulani". Je, "mazingira fulani" hayawezi pia kuwa katika masuala ya utabibu? Maana maradhi ni kitu ambacho kipo beyond human control; ni zaidi ya "mazingira fulani" in my opinion.