Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
kwani quran imekataza ulaji wa nyama ya mtu?Wewe unakula nyama ya mtu?Mbona unawekewa figo la mtu.Tumieni akili,ni swali,la ajabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani quran imekataza ulaji wa nyama ya mtu?Wewe unakula nyama ya mtu?Mbona unawekewa figo la mtu.Tumieni akili,ni swali,la ajabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
From maktaba[emoji200][emoji482]We kafiri acha shobo
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]Sio Quran ni hadithi,
Actually inaruhusu kula chochote unapokuwa kwenye emegencies. under extreme emegiencies unaruhisiwa hata kula sehem yako ili usogeze siku za kuishi. Ndo maana mnaambiwa uislam ni dini iliyokamilika.
Under emegencies haram inageuka halali, hata talaka ni halali inayochukiza
na zaidi mtume hakutabiri ujio wa bahari mbili zilizoungana, mtume alizaliwa akakuta hizo bahari zipo na maji yake hayachangamani. kwa akili timamu uwezi ona unabii hapo wala muujiza hapo.We huna akili kabisa hivi unajuaa chuo kikuu Cha kale zaidi kulikua wapi na sayansi unayo isema ilikuwepo zaman kabla ya hata hao unao wasema mfano mzuri tu angalia ma piramid ya misri mpaka Leo hao wanasanyansi wa leo wanaenda kuyatazama na mwisho nataka kukuambia Hakuna sayansi inayo izid quraan ambayo mtume alifundishwa kunasehem katika dunia Kuna bahari mbili zinakutana na maji yake hayaingiliani nani alimfundisha mtume
Akili yako nyembamba sana ni wanyamagani huwa hawashambulii mazao? Bora hawa ni mazao ya mizizi tu kuna wanyama wengine hamjawaweka kwenye kundi la kuchukiwa ni hatarishi zaidi kwa mazao ya kila namnaNguruwe anashambuliwa kwa uharibifu wa mazao,sio kwa jingine.Nguruwe wakiingia kwenye shamba la mihogo,hata liwe ukubwa gani,wanalimaliza mda huo huo,na kuharibu mimea yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
BrainwashedKoroani haijaacha kitu,ipo wazi hajazuiwa kutumika kwa matumizi mengine zaidi ya kitoweo,kwa tiba anatumika vizuri tu.
Wabilahi tawfiq
Unaona usivyo na akili hao wanasanyansi wako ulo wataja walikuwepo kipindi Cha hayo ma piramid pia nimekuuliza unajua chuo Cha kale Zaid duniani ni kipi?wewe ni mpumbavu unaejaribu kujivika koti la ujuzi..
unayajua mapiramid yamejengwa lini?.
Kwanza:, unataka kusema nini unapoongelea mapiramid?.
piramida zimekuwepo kabla hata ya Kristo na zaid mwarabu hakusogeza hata udongo kwenye huo ujenzi wa hayo mapiramid.
mapramid ni blacks wa enzi hizo na iman yao ya mungu Ra ndiyo wanajua nini kilifanyika katika ujenzi wa hayo madude.
hao akina salah wameingia hapo hivu majuzi wakayakuta hayo mapiramid ni ujinga wako tu ndiyo unakufanya uhisi ujenzi wa mapiramid ulifanywa na waja wa Allah .
So muislam kufuga nguruwe kwa ajili ya biashara au as a pet ni ruksa mkuu??Koroani haijaacha kitu,ipo wazi hajazuiwa kutumika kwa matumizi mengine zaidi ya kitoweo,kwa tiba anatumika vizuri tu.
Wabilahi tawfiq
Kitu choma hiko,balaa kabisaFrom maktaba[emoji200][emoji482]
Ukute unapiga beer pumbaaavuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1983958
Anaweza kuliwa katika mazingira fulani.Kinachokatazwa ni kula nguruwe!
Kinyesi chako kinatoka tumboni mwako. Je kwa kuwa kinatokea tumboni ni sawa kwako ukila hicho kinyesi?Lakini figo si lipo tumboni, wakiliweka itakuwa kama vile umekula tu figo la nguruwe?
Huyo mdudu ni binadamu kwa mujibu wa bailojia yangu ya ya form 1,huko nyuma palikua na chanjo inayotokana na huyo mdudu,ilikua huwezi kwenda hijja Bila kuchanja,mpaka Malaysia(malaya) walipokuja na chanjo inayotokana na michikichi,nguruwe Haram kumla sio kumsoma au kunufaika nae kitibaNahisi kuna kutoelewana kwa taarifa na mapokeo ya kale (mafunzo ya dini )
Huyu mdudu sijaona kosa (uharamu) lake
[emoji41]
Mnyama gani uyo ety akishikwa na njaa ata mwanae anamla yni yy kila kitu anakula
mnyama gni asokua na huruma na mwanae ivi ww m.damu ukishikwa na njaa ushawahi kumla mwanao. Yni mambo mengine ni kutumia ubongo wako tuu hlf ukaamua
Kwaiy ukimuona nguruwe yaweza kuwa ni babu yako? na biology gani inayosema nguruwe ni binadamu?? Leta ufafanuzi vizurHuyo mdudu ni binadamu kwa mujibu wa bailojia yangu ya ya form 1,huko nyuma palikua na chanjo inayotokana na huyo mdudu,ilikua huwezi kwenda hijja Bila kuchanja,mpaka Malaysia(malaya) walipokuja na chanjo inayotokana na michikichi,nguruwe Haram kumla sio kumsoma au kunufaika nae kitiba
Ukipiga na ndizi zako kadhaaaMi huwa kila nikipata dhalula ya njaa ya kufa siku za weekend huwa nakula nyama ya Nguruwe kilo moja tu (sio ya kushiba) na najisikia nafuu hapo hapo.
Kweli kila kiumbe cha Mwenyezi Mungu kina umuhimu wake.
Samahani mi nina swali kidogo kuna kitu kinaitwa kujitoa mhanga na vijan nd walikua wahusika inasemekan kuua makafir unaenda mbingun moja kw moja je ni kwel? Kam n kweli sasa unashindwaje mda unapokua umekaribia kufa kw njaa ufe tu moja kw moja kuliko kula nguruwe sabb ukifa huon kam utakua umeshuhudia sheria ya Mungu wako ukiitimizaUislamu sivyo kama unavyofikiria wewe.Uislamu umekataza kula nguruwe,lakini ikiwa hakuna chakula kingine,na utakufa kwa njaa,unaruhusiwa kula ili usife na njaa.Kwa ufupi katika uislamu,kukiwa na dharura,ya kuweza kufariki,unaruhusiwa kuondoa kifo,kumponya aliye na tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukila nguruwe virutubisho vinaingia mwilini na ukiwekewa figo yake inakuwa kwenye mwili wakoMaandiko yamepiga marufuku ulaji wa nguruwe hayajapiga marufuku matumizi ya nguruwe katika tiba
Hiyo ni daawha na wote tuseme inshaallah