Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Mvaakobazi bora azini kuliko kula nyama ya kiti..dini zingine unafiki mtupu..ila kuhusu figo ya nguruwe ni tiba wataipokea kwa mikono miwili mana hakuna apendaye kifo.

#MaendeleoHayanaChama
Qur'an imeruhusu,pia kula,ikiwa hakuna chakula kingine,ili usife(hiyo ni dharura).Na matibabu pia ni dharura,na hapo kwenye figo hulu nguruwe,ila unatibiwa,ni sawa na kuwekewa figo ya binadamu,dini zote haziruhusu kula nyama ya mtu,lakini unaekewa figo ya mtu,inaruhusiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe,View attachment 1983581

Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,

Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?
Kuna dini inaruhusu kula mtu?Hakuna.Na unaekewa figo ya mtu.Tofautisha kula,na kuwekewa kiungo,kwa ajili ya tiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata bangi ni tiba kubwa pia sasa mbona sijaona kuulizana maswali kama haya.
 
Mnyama gani uyo ety akishikwa na njaa ata mwanae anamla yni yy kila kitu anakula
mnyama gni asokua na huruma na mwanae ivi ww m.damu ukishikwa na njaa ushawahi kumla mwanao. Yni mambo mengine ni kutumia ubongo wako tuu hlf ukaamua
... nguruwe sio kiumbe pekee anayekula offspring yake Chief; wako wengi tu mbona! Tuliza akili; ukijenga hoja kwa chuki utaingia chaka ambalo "hutachomoka".
 
Halafu nyie wakristo sijui kwann mnapenda sana kuwajadili waislamu
Yni humu post za dhihaka za uislamu zipo nyingi tuu lkn siku zte kizuri ndio hupenda kuongelewa kwaio m sishangai
 
Back
Top Bottom