avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Hatuta kaa tufikie consensus maana wewe reference zako utakuja na hivyo vitabu vilivyofunga akili yako na vilivyobeba mila na desturi za hao wajanja wa middle east wanaotaka tufuate zao na tuache vyetu.Mkuu kama upo tayari mm nitajitolea kukuelimisha usiseme ni utumwa mna ata ktka nchi kuna katiba ambayo tunaifuata na inatukataza mengi tu kwaio kama upo tayari mm nitakuelimisha
Kilichotuponza waafrika Tulipewa Lugha nyingi na mila nyingi kuliko wao lakini tukanyimwa maadishi hivyo tukashindwa kuandika kumbukumbu ya mila zetu za asili na dini zetu kwenye vitabu
Ukienda Asia yoote kuanzia uchina, india, bangaladeshi nepal, uarabuni, izrael nk kila mmoja amepewa maandishi yake ya asili na waliweza kutunza kumbukumbu ya mila zao , tamaduni zao na ndizo hizo wanazotulazimisha tuzifuate kwa kutudanganya zilishushwa na Mungu kwa ajili yetu.
Jinsi tunavyoacha zetu na kufanya matambiko (ibada zao) ndivyo wanavyoendelea kuwa stong na sisi kuendelea kuwa weak kwa kuacha matambiko ( ibada zetu) na kufuata za kigeni