Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu katika imani itatumika hio figo ya nguruwe endapo ya binadamu itakoseakana lkn pia kma huyo mtu akifa inatakiwa itolewe halafu ndio azikwe.Muislamu si sahihi kutumia kitu chochote kitokanacho na nguruwe, si nyama yake wala viungo vyake wala huduma yake. Huo ndiyo mtihani tuliyopewa watu wa vitabu.
Huko nyuma mayahudi waliambiwa siku ya Sabato wasifanye kazi iwe ni siku maalum ya ibada, kuna baadhi yao wakapewa mtihani wa kujiwa na samaki wengi siku ya Sabato, wakaamua kutega nyavu usiku wa Ijumaa na kwenda kuzitoa siku ya Jumapili asubuhi, hivyo Mungu akawakasirikia na kuwageuza nyani na nguruwe. Sasa huwenda hizi tafiti ni confirmation ya kuwa hao nguruwe wana vitu vyenye kuingiliana na binadamu (maghdhubi alayhim) waliyoghadhibikiwa na Mungu kwa ukaidi wao. Sasa wale wenye kula nguruwe huenda wakawa wanakula nyama za kizazi cha wanadamu waliyogeuzwa nguruwe.
Hatujakubali badoMbona unaulizia waislam tu? Vipi wasabato wao washakubali?
Mvaakobazi bora azini kuliko kula nyama ya kiti..dini zingine unafiki mtupu..ila kuhusu figo ya nguruwe ni tiba wataipokea kwa mikono miwili mana hakuna apendaye kifo.
#MaendeleoHayanaChama
Hawawezi kabisaTafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe,View attachment 1983581
Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,
Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?
Lakini figo si lipo tumboni, wakiliweka itakuwa kama vile umekula tu figo la nguruwe?Koroani haijaacha kitu,ipo wazi hajazuiwa kutumika kwa matumizi mengine zaidi ya kitoweo,kwa tiba anatumika vizuri tu.
Wabilahi tawfiq
Hilo ni darasa lingine, kwani kuna msingi wa sheria wenye kusema " Adharuraat tubeeh makhtooraat"Ndugu yangu katika imani itatumika hio figo ya nguruwe endapo ya binadamu itakoseakana lkn pia kma huyo mtu akifa inatakiwa itolewe halafu ndio azikwe.
Mungu ndo anajua zaidi
Sasa wanasema wale wakiwa na dhalula tu.
Je atawafuga nani hao nguruwe ili wawanusuru wakati wa dhiki ya chakula ?
Ni vyema nao wakafuga ili wakati wa mahitaji hayo wale kiasi walichoambiwa.
Mkuu kumbe una dini maana nakuonaga kama wenzako akina zito jrMaandiko yamepiga marufuku ulaji wa nguruwe hayajapiga marufuku matumizi ya nguruwe katika tiba
Hiyo ni daawha na wote tuseme inshaallah
[emoji851][emoji851]Wanyama wengi wamepigwa marufuku ila sijajua kwanini huyu wamemuwekea kipaumbele sana
We ni KAFIRI KAMA SISI[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Mi huwa kila nikipata dhalula ya njaa ya kufa siku za weekend huwa nakula nyama ya Nguruwe kilo moja tu (sio ya kushiba) na najisikia nafuu hapo hapo.
Kweli kila kiumbe cha Mwenyezi Mungu kina umuhimu wake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960] Daud plz CCM inatutosha achana na hiiSheikh Ritz anaweka hii figo vizuri kabisa.
[emoji851][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960] sisi makafiri au WAPORINI[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Sasa wanasema wale wakiwa na dhalula tu.
Je atawafuga nani hao nguruwe ili wawanusuru wakati wa dhiki ya chakula ?
Ni vyema nao wakafuga ili wakati wa mahitaji hayo wale kiasi walichoambiwa.
Ukiumwa wewe ndio utaelewa[emoji41][emoji41]Muislamu si sahihi kutumia kitu chochote kitokanacho na nguruwe, si nyama yake wala viungo vyake wala huduma yake. Huo ndiyo mtihani tuliyopewa watu wa vitabu.
Huko nyuma mayahudi waliambiwa siku ya Sabato wasifanye kazi iwe ni siku maalum ya ibada, kuna baadhi yao wakapewa mtihani wa kujiwa na samaki wengi siku ya Sabato, wakaamua kutega nyavu usiku wa Ijumaa na kwenda kuzitoa siku ya Jumapili asubuhi, hivyo Mungu akawakasirikia na kuwageuza nyani na nguruwe. Sasa huwenda hizi tafiti ni confirmation ya kuwa hao nguruwe wana vitu vyenye kuingiliana na binadamu (maghdhubi alayhim) waliyoghadhibikiwa na Mungu kwa ukaidi wao. Sasa wale wenye kula nguruwe huenda wakawa wanakula nyama za kizazi cha wanadamu waliyogeuzwa nguruwe.
Muislamu si sahihi kutumia kitu chochote kitokanacho na nguruwe, si nyama yake wala viungo vyake wala huduma yake. Huo ndiyo mtihani tuliyopewa watu wa vitabu.
Itabidi mkae chemba muelewane kwanza ndipo mje na kauli moja, maana mapingana wenyeweMaandiko yamepiga marufuku ulaji wa nguruwe hayajapiga marufuku matumizi ya nguruwe katika tiba
Hiyo ni daawha na wote tuseme inshaallah
Usiogope kufa kwani ndiyo njia ya kila mmoja wetu.Ukiumwa wewe ndio utaelewa[emoji41][emoji41]
Ok[emoji41]Usiogope kufa kwani ndiyo njia ya kila mmoja wetu.
Sina dini ila najaribu kuweka maoni yangu kulingana na dini husika inavyo semaMkuu kumbe una dini maana nakuonaga kama wenzako akina zito jr