Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Nimeishia kucheka sana leo😃😃😃 kitimoto hoyeeeeeee.
 
Dini yenu nzuri sana maana ulivyoandika huo Moto hauwasubiri.Ukishakuwa muislam Moto hauwahusu,Safi Sana.
 
Ndio dini ya kiislamu inaruhusu kula nguruwe kwa ajili ya kuokoa maisha ya m.damu endapo hakuna chakula kwa wakati ule lkn asile kwa kushiba bali ale kwa kiasi tu ili asijepatwa na mauti
Kula ni kula tu haijalishi kama umeshiba ama haujashiba
 
Kama mnamchukia nguruwe asiye na hatia, kwanini msijiulize busara na mantiki ya 'kuumbwa' kwake?
 
Ndio dini ya kiislamu inaruhusu kula nguruwe kwa ajili ya kuokoa maisha ya m.damu endapo hakuna chakula kwa wakati ule lkn asile kwa kushiba bali ale kwa kiasi tu ili asijepatwa na mauti
Hicho kiasi hakikutolewa Mwongozo!😂😂
Hizi Dini hizi!
 
Kula ni kula tu haijalishi kama umeshiba ama haujashiba
kubishana na asiekua na Uislamu ni kujipotezea muda hlf utanishinda tuu mna ww utakua hujui ata unaloliongea unaongea ilimradi umeongea tu.
Ujinga sio kutokujua kusoma na kuandika bali ujinga pia ni kutokujua Umeumbwa na nani hlf ww unamuabudia nani
 
Koroani haijaacha kitu,

Mapadri wanajua hili fika ndio maana wametulia tu kwa kuwa wanasoma vitabu vyote,

Imetoa maelezo ya kutosha tu nini cha kufanya inapotokea hivyo,koroani sio ya mchezochezo ndugu
Kwa hiyo ikitokea kwamba kula nyama ya mudi ni tiba utakula bwana ustaadh???
 
Mbele ya uhai hakuna haramu wala halali
 
Kama washasema ikitokea njaa wanaruhusiwa kula unatarajia nini? Eti usile Ila kukiwa na njaa ndio inaruhusiwa kula, sasa si ule tu?

Lazima muwe na msimamo kwamba heri ufe kwa njaa kwa kutetea Imani sio kulipua watu ndio useme kutetea Imani.
 
Hakuna dini inayozuia chochote kwa ajili ya matibabu. Kula ndo hairuhusiwi
 
Ugonjwa ni siri ya mtu,awekewe asiwekewe kikubwa uhai
 
Kinachokatazwa sio kula tu nyama hata kumfuga hairuhusiwi.
Sasa ndugu Mwislamu Moyo ukifeli ni bora ufe au uwekewe moyo wa nguruwe ?
Na kama uwekewe moyo wa huyo mnyama utampata wapi ?
Au inataka wengine wakufugie wewe utumie ?
Alaf kwani kila unachufuga lazima ule ?
Mbona huli mbwa na Paka ?

Ni wakati sasa wa ndugu zetu waislamu kuamka na kuanza kufunga nguruwe kwa ajiri ya matibabu na chakula wanapokuwa na njaa.
 
Acha niweke imani pembeni! Naweka figo ya nguruwe kuokoa maisha.
 
Koroani haijaacha kitu,ipo wazi hajazuiwa kutumika kwa matumizi mengine zaidi ya kitoweo,kwa tiba anatumika vizuri tu.

Wabilahi tawfiq
Sasa Kwanini msiwafuge kabisa ili waweze kuwasaidia ktk matibabu??.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…