Je, Waislamu tunaitendea haki Qur'an?

Asante kwa ukumbusho Allah akulipe
 
Kwani waislam na wakristu mungu wao anafanana? mbona kila mmoja anamuona mwenzake anapotea?
Mungu ni mmoja Tu hana msaidizi wala mshirika

Sasa,

Ni juu ya watu wenyewe kujitathimini wanajiweka upande Upi?
 
Mungu ni mmoja Tu hana msaidizi wala mshirika

Sasa,

Ni juu ya watu wenyewe kujitathimini wanajiweka upande Upi?

Tatizo weusi tunathamini njia za kigeni kumtafuta mungu tunaacha njia zetu za asili. ndiyo maana tunapoteana hatujielewi tunatanga tanga. Haiwezekani wee mweusi ujisikie vizuri tuu ukifuata tamaduni za waasia.
 
Huenda chief tunatofautiana baadhi ya mambo hapa

Dini na tamaduni ni vitu viwili tofauti, sasa unapoingiza Dini katika tamaduni naon sio Sawa,au wewe Una maoni gani
 
Je maandishi ya kiarabu yanayohusishwa na ushirikina, yanatokana na nini, na kwa nini yawe ya kiarabu?
 
Je maandishi ya kiarabu yanayohusishwa na ushirikina, yanatokana na nini, na kwa nini yawe ya kiarabu?
Swali zuri

Kuna masheikh ambao wanafanya Tiba ya kisheria ambayo inaendana na Qur'an na Sunna,Kwa mfano kuna aya za Qur'an ukisoma au akisomewa mgonjwa kama kuna maradhi yanatoka au pepo wanatoka

Sasa

Kuna makanjanja WA mjini hawana elimu hiyo,na kwakuwa wanajua watu wengi hawajui tofauti ya Qur'an na maandishi mengine ya kiarabu,basi wanatumia mwanya huo kuwafanyia watu utapeli Kwa kuandika andika vitu kama Qur'an na kuonekana hiyo ni quran kumbe sio
 
Huenda chief tunatofautiana baadhi ya mambo hapa

Dini na tamaduni ni vitu viwili tofauti, sasa unapoingiza Dini katika tamaduni naon sio Sawa,au wewe Una maoni gani

Tamaduni na Dini ni kitu kimoja, huwezi vitenganisha.
Sema mafundisho ya dini zenu yamechakachuliwa ili mpate wafuasi wengi. maana swahili wa magomeni anajifanya mwarabu wa saudia kwa kufuata matendo ya uislam.
 
Sawa huo ni mtazamo wako na maoni yako

Lkn

Dini chimbuko lake ni kutoka Kwa Mungu,ni sheria na utaratibu ambao tunatakiwa kuufuata kama wanadamu ili kuzitii sheria za Mungu na kuacha makatazo yake.

Tamaduni ni utaratibu WA Maisha ya mwanadamu ya kila siku,na hutofautiana katika jamii moja na nyingine.

Sasa,

Kama Dini ingekuwa ni utamaduni basi ningeungana na wewe kufuata tamaduni zetu kama waafrika lkn kwakuwa sio tamaduni basi hatuna budi kuifuata haki Bila kujali chanzo chake kilianzia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…