Je wajua Dini ya Uislamu ni zaidi ya sayansi?

Vitabu vipo vingi br it depends with what kind of book you want to scrutinize
 
Kuna mvaa kobaz aliniibia siri kuwa mbinguni Kuna mto wa pombe kwa kuwa tulikuwa tumepombeka nikaona mwamba anazingua.... baada ya muda mrefu nilikutana na taarifa ya kisayansi inayothibitisha Kuna ethanol inazunguka tu huko juu haina mwenyewe..... I hope ndio kutakuwa mbinguni kwenyewe! though hawakuona mabikira 72 mara idadi ya wanaume
 
Mm fact yang kama dini yaitaj imani basi ni zaidi ya sayansi haiitaji experiment na ndivyo kwa dini zote.
Kuhus hao wanaotafsir Quran wasome vizur kk kam hawatofautian mfano hao wahanafi wanaruhusu akili fikirika kaka wakati Quran haiitaji sana hyo kilichoandikwa ndivyo kilivyo kwa msaada wa hadith na tradition
 
Duuu Uislamu zaidi ya Sayansi! HEBU ONA HAPA Mohammad akithibitisha hilo

View: https://youtu.be/vFa8XuI4YTA?si=9YQ8O3XASY6uQvKr
 
Duh!
3:49 soma hiyo Kisha njoo tena ueleze ina maana gani

Quran 3:49
Na ni Mtume kwa Wana wa Israili kuwaambia: Mimi nimekujieni na Ishara kutoka kwa Mola Mlezi wenu, ya kwamba nakuundieni kwa udongo kama sura ya ndege. Kisha nampuliza anakuwa ndege kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na ninawaponesha vipofu wa tangu kuzaliwa na wakoma, na ninawafufua maiti kwa idhini ya Mwenyezi Mungu,

Aya si ndio hii?

Kuna sehemu hapo inasema Yesu ni Mungu au Yesu ni muumbaji?

Aya inaanza kusema Yesu ni mtume Kwa Wana wa Israel

Yani Yesu ametumwa na Mungu kupeleka ujumbe Kwa Wana wa Israel

Aya inasema kuwa amefanya alichofanya Kwa idhini ya Mwenyezi Mungu

Vipi kama asingeambiwa afanye hivyo yeye mwenyewe angeweza kufanya?


Na mbona hata katika Bibilia Yesu anasema hana uwezo wa kufanya jambo lolote Kwa uwezo wake haya maandiko hamuyaoni au ndio mmekuwa vipofu Kwa laana ya Mungu

Yohana 5:30
Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka.

Yohana 11:41
Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.
Yohana 11:42
Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.
Yohana 11:43
Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.

Ndio maana nyinyi wagalatia tunakuambieni mmepotea na Jahanamu inawasubiri

Mbona hamumuabudu Haruni aliyageuza mavumbi kuwa Chawa?

Mbona hamumuabudu nabii Samweli alifufua jeshi zima?

Kwa kumalizia wewe mbumbu sikia

Yesu ni binadamu kama wewe alipokuwa mtoto alicheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya

Alikuwa anatumwa dukani na mama yake akanunue unga wa ngano na mafuta ya

Alikuwa anakula mikate na samaki alafu anaenda chooni kunya
 
Kuna sehemu hapo inasema Yesu ni Mungu au Yesu ni muumbaji?

Aya inaanza kusema Yesu ni mtume Kwa Wana wa Israel

Yani Yesu ametumwa na Mungu kupeleka ujumbe Kwa Wana wa Israel
We jamaa usihamishe mada. Nani amesema Yesu ni Mungu?

Halafu Yesu kama ni kwa ajili ya waisrael, kwenye kipindi hicho wakati anaDeal na waisrael sehemu zingine za Dunia zilikuwa zinaongozwa na mtume gani?
 
Ulinganisho huu pekee hata bila ya kusoma unatosha kuonyesha upotoshaji na kutojua lolote kwa mleta uzi. Kesho utasikia kuwa samia ni zaidi ya profesa na watasema tawile.
Mtoa uzi yuko sahihi kabisa.

Sababu Sayansi ina misingi yake, na tatizo kubwa ambalo linaikumba Sayansi ndangu Scientific Method zianze kufanya kazi, ni namna ya kufikia hitimisho.
 
Uislamu huu unaoua watu na kulazimisha watu wawe islamu ?

Uislamu huu ambao unajitapa dini ya haki lakini wenyewe hautaki kutoa hiyo haki kwa wengine nao waabudu kwa uhuru ?

Sayansi gani hiyo unazungumzia ya Uislamu?View attachment 3321997
Km ni msimaji mzuri wa vitabu,soma biblia and Quran iliotafsiriwa/English or swahili then kaa chini utafakari vzr ukimezeshwa upande mmoja ndio huo huo ulisababisha watu wakaambiwa kuna dawa asili(hizi wanakubia usitumie)na za viwandani vinazokupatia cancer na magonjwa yote usiokua nayo mwilini na mbaya zaidi dawa za viwandani zinatokana na miti aka dawa asili.
Mm nimevisoma vyote bible and Quran
 
We jamaa usihamishe mada. Nani amesema Yesu ni Mungu?

Halafu Yesu kama ni kwa ajili ya waisrael, kwenye kipindi hicho wakati anaDeal na waisrael sehemu zingine za Dunia zilikuwa zinaongozwa na mtume gani?
Kama umeelewa kuwa Yesu hajaumba Ndege na Wala hana uwezo huo hivyo hastail kuabudiwa basi inatosha
 
Imebidi ni cheke kwani archimedes principle na dini nani aliwahi kuleta sayansi maana dini ya juzi
 
Yesu ameumba ndege mkuu usijifanye huelewi hiyo Aya.
Sasa ndio unathihirisha kama wewe kilaza

Quran 3:49
Na ni Mtume kwa Wana wa Israili kuwaambia: Mimi nimekujieni na Ishara kutoka kwa Mola Mlezi wenu, ya kwamba nakuundieni kwa udongo kama sura ya ndege. Kisha nampuliza anakuwa ndege kwa idhini ya Mwenyezi Mungu.

Kwanza hilo andiko halisemi kuumba maana kuumba ni sifa ya Mungu pekee yake linasema kuunda

Andiko linasema KUUNDA Kwa maana tayari Mungu alishaumba Ndege kitambo walikuwepo hapa Duniani

Huyo Ndege amemfinyanga Kwa kutumia udongo huo uongo umeumbwa na nani?

Huyo Ndege alimuunda Kwa idhini ya nani?

Kabishane na vilaza wenzanko wa kigalatia wasio mjua Mungu kama wewe Mimi Sina mda huo

Wenye akili wameshaelewa kuwa Yesu kama Yesu hana uwezo hata wa kuumba Inzi

Yohana 5:30
Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka.


Yani Mimi nianze discussion eti Yesu Mungu au sio Mungu? Hizo ni mada za vilaza kama wewe Mimi mda huo sina
 
Kwa kuwa unajifanya una akili sana Kisha unaniona mi kilaza sio kesi mkuu,. Mi sikuwa na lengo baya kujadiliana nawe ilikuwa katika kujifunza tu. Ok endelea na majiniazi wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…