Theist Wanakuambia Hatutaki tena Mungu — tunayo sayansi wana sema:
"Dini ilieleza radi sayansi inaieleza vizuri zaidi.”
“Siku moja, sayansi itajibu kila kitu.”
Theist wajue kwamba, Sayansi ni utafiti wa jinsi ulimwengu unavyofanya kazi. Inachunguza, Inapima, Inatabiri. Inajaribu. Lakini sayansi haijibu wala haiwezi kujibu kwa mfano haiwezi kujibu haya:
1.Kwa nini ulimwengu upo kabisa? 2.Kwa nini kuna sheria za asili kabisa?
3.Kwa nini kuna kitu badala ya kutokuwa na kitu?
4. Kusudi la maisha ni nini?
Nini hutokea baada ya kifo?
Sayansi hueleza mfumo Lakini haiwezi kueleza maana.
Inaweza kukuambia mvua inavyonyesha - Lakini si nani anayeiteremsha kwa rehema.
Inaweza kueleza jinsi mtoto anavyoumbwa —Lakini si kwa nini uhai unaanza tumboni.
Inaweza kueleza mapigo ya moyo — Lakini si kwa nini moyo uliumbwa.
Einstein — ambaye hakuwa mtu wa dini — aliwahi kusema:
Sayansi bila dini ni kilema. Hata mwanafizikia asiyeamini Mungu, Paul Davies, alikiri:
Sayansi haiwezi kueleza kwa nini sheria za fizikia zipo... wala kwa nini zimepangwa kwa ukamilifu ili kuhimili uhai.”
Hapo ndipo uabudu wa sayansi (scientism) theist — imani kuwa sayansi pekee inaweza kueleza ukweli wote — unashindwa kabisa.
Kwa sababu:
Sayansi haiwezi kukuambia lipi sahihi au lisilo sahihi.
Sayansi haiwezi kuthibitisha upendo, uzuri, au haki.
Sayansi haiwezi kueleza kwa nini unalia kwa kifo — ingawa ubongo wako “unajua” ni atomi tu.
Sayansi haiwezi kusema kwa nini unajali ukweli hata kidogo.
Lakini Uislamu unaweza Uislamu unakupa vyote:
— Akili ya kuchunguza uumbaji
— Na roho ya kuunganika na Muumbaji
"Hakika katika uumbaji wa mbingu na ardhi… kuna ishara kwa watu wenye akili.”
— [Qur’an 3:190]
“Sema: Mnaona mnaowaabudu badala ya Allah? Nionyesheni walichoumba katika ardhi.”
— [Qur’an 46:4]
Uislamu hauifanyi sayansi kuwa Mungu.
Kwa sababu darubini haiwezi kuchukua nafasi ya ujumbe,
Wala hadubini haiwezi kuchukua nafasi ya ukweli.
Kwa hiyo — sayansi haijachukua nafasi ya Mungu.
Inachofanya ni kufafunua ishara za nguvu Zake.
Kwa ufupi Uislamu ni zaidi ya sayansi wanakupa vyote wakati sayanasi inakupa process sio asili na sababu.
Nb.
Soma upate maarifa sio lazima ucomment au uliza tu suali kuendana na mada hiyo.