Je wajua Dini ya Uislamu ni zaidi ya sayansi?

Je wajua Dini ya Uislamu ni zaidi ya sayansi?

Yesu anaabudiwa na baadhi ya wakristo kwa sababu ameumba ndege. Nimeshakuonyesha alichoumba hapo. Kwa hiyo aendelee kuabudiwa bila shaka ndugu muislam au sio.
Hivi wewe ulienda shule kweli? Unamanishsa ndege hazikuepo kabla ya yesu kaziumba yeye au kategeneza Yesu.
 
Uislam ni full uzezeta wa kujitakia. Dini gani inalazimisha waumin kufanya vitu na kuwacontrol, mtu ukihoji ujinga uliomo ndani ya hiyo dini unauliwa na kuitwa kafir kisa tu kwa sababu sheikh au imam hana jibu. Jaribu kumuuliza sheikh au imam kitu cha maana maishani cha mwaka huu 2025, ataanza kwa kucheka kwanza na kukariri haya za karne ya 7 zisizoendana na uhalisia wa maisha na kukuambia kuwa Mungu kasema hivyo. Yaani unabaki kuchanganikiwa zaidi badala ya kupata muafaka, hawa watu uwaga wananiacha hoi kwa kweli, mtu anashindwa kutumia akili alizopewa na Mungu anakimbilia haya zilizotungwa na shetani which don't make any sense at all.
Mfano kitu gani cha maana maishani ambacho hakina majibu kutoka kwa hao uliowataja.
 
Wagalatia wameshajua kuwa hawana uwezo na kusimama na Quran Kwa hoja ndio maana hakuna anae gusa huko ndio hivyo tu wataishia kutukana tukana tu

Quran 2:2
Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,
 
Uislamu ulianza lini?
 
Hivi wewe ulienda shule kweli? Unamanishsa ndege hazikuepo kabla ya yesu kaziumba yeye au kategeneza Yesu.
Mzeebaba hebu pitia Aya vizuri kwanza inasema nini. Ni kwamba inasisitiza asiabudiwe yeyote ambaye hajaumba.

Sasa kwa sababu ndege walikuwepo, Yesu kuumba ndege unakuwa sio uumbaji?
 
Toa Aya ndani ya Quran inayokusapoti unachokisema vinginevyo bana mkaa tulia.
18:86
Hata alipofika machea-jua aliliona linatua katika chem chem yenye matope meusi.

Umeona Aya hiyo ndani ya Quran?
Haya njoo tetea hoja yako
 
Mzeebaba hebu pitia Aya vizuri kwanza inasema nini. Ni kwamba inasisitiza asiabudiwe yeyote ambaye hajaumba.

Sasa kwa sababu ndege walikuwepo, Yesu kuumba ndege unakuwa sio uumbaji?
Huwezi kuumba kitu ambacho kilisha umbwa na Mungu mkuu jitahidi kuwa analytical sio kukurupuka.
 
Back
Top Bottom