Je wajua Dini ya Uislamu ni zaidi ya sayansi?

Sio Mchina panda boti nenda pemba kuna wazee zaidi ya mmoja wanatengeneza njiwa anaruka popote unapotaka wewe anaenda tena kwa maelekezo yako.
Sasa kwa akili hizi ulizonazo ndo ulitaka unipime mimi? Huna kitu kichwani, huna point. Nimeona unasema Quran ni kwa ajili ya watu wenye akili, means maislam yote yana akili sio!? Akili ndo kama hizi zako au sio?

Mada ipo wazi kabisa, kuitetea huwezi umebaki kurukaruka tu. Hebu tusubiri wenzio pengine yupo muislam anayejitambua kidogo japo sio rahisi kuona muislam ana maarifa kichwani.
 
Mbona wengine wanasema Adam alikuwa Muislamu??
Katika Imani ya kiislam Adam pia ni nabii kwahiyo ninaposema manabii wote walikuwa waislam na Adam pia yupo
 
Hakuna kilichoama kaka ni katika kuonesha kila verse ina interpretation katika Bible nkakuwekea n mfano kam ilivyo ktk Islam hat interpretation zinatofautiana pia so ni faith tu na kuangalia wapi watokea
Mkuu sio kweli unacho sema Qur"an inatafsiliwa na hadeeth au na Qur"an yenyewe mahara pengine, hao ma Imamu unao ongelea wanatofoutiana kwa vitu vya kiasi vidgo vidgo trivials sio verse ya Qur"an au hadeeth......
Turudi kwenye Mada kuu wewe una kijitabu kinacho fafanua verse za biblia zaidi ili unielekeze nijue zaidi au lugha ya biblia inajitosheleza mkuu?
 
Tufate mila zetu na dini zetu za kiafrika hizi dini za kuletewa ni shida sana
 
Nnothing called freedom of choice. Toa mfano wwt wa dini yako unachoamini kwako ni freedom of choice.

Taka kuamini yesu ndie Mungu kwako si freedom of choice. Someone control ur brain.

Ujinga si tusi. Kila mtu ni mjinga na hupata werevu kupitia maarifa. Unachoona ujinga ktk Uislam ni kwa kuwa uko ktk gira.

Na ukipigwa na nuru urafumba macho kwanza kisha utaanza kuzoea
 
Nabii ni mtu wa aina gani?
Nabii ni mtu anayepokea ufunuo kutoka Kwa Mungu Kupitia Ndoto au malaika au Kwa kusemezana Moja Kwa Moja na Mungu kama vile Musa
 
Theist Wanakuambia Hatutaki tena Mungu — tunayo sayansi wana sema:

"Dini ilieleza radi sayansi inaieleza vizuri zaidi.”
“Siku moja, sayansi itajibu kila kitu.”

Theist wajue kwamba, Sayansi ni utafiti wa jinsi ulimwengu unavyofanya kazi. Inachunguza, Inapima, Inatabiri. Inajaribu. Lakini sayansi haijibu wala haiwezi kujibu kwa mfano haiwezi kujibu haya:

1.Kwa nini ulimwengu upo kabisa? 2.Kwa nini kuna sheria za asili kabisa?
3.Kwa nini kuna kitu badala ya kutokuwa na kitu?
4. Kusudi la maisha ni nini?
Nini hutokea baada ya kifo?

Sayansi hueleza mfumo Lakini haiwezi kueleza maana.

Inaweza kukuambia mvua inavyonyesha - Lakini si nani anayeiteremsha kwa rehema.

Inaweza kueleza jinsi mtoto anavyoumbwa —Lakini si kwa nini uhai unaanza tumboni.

Inaweza kueleza mapigo ya moyo — Lakini si kwa nini moyo uliumbwa.

Einstein — ambaye hakuwa mtu wa dini — aliwahi kusema:

Sayansi bila dini ni kilema. Hata mwanafizikia asiyeamini Mungu, Paul Davies, alikiri:
Sayansi haiwezi kueleza kwa nini sheria za fizikia zipo... wala kwa nini zimepangwa kwa ukamilifu ili kuhimili uhai.”

Hapo ndipo uabudu wa sayansi (scientism) theist — imani kuwa sayansi pekee inaweza kueleza ukweli wote — unashindwa kabisa.

Kwa sababu:

Sayansi haiwezi kukuambia lipi sahihi au lisilo sahihi.

Sayansi haiwezi kuthibitisha upendo, uzuri, au haki.

Sayansi haiwezi kueleza kwa nini unalia kwa kifo — ingawa ubongo wako “unajua” ni atomi tu.

Sayansi haiwezi kusema kwa nini unajali ukweli hata kidogo.

Lakini Uislamu unaweza Uislamu unakupa vyote:

— Akili ya kuchunguza uumbaji
— Na roho ya kuunganika na Muumbaji
"Hakika katika uumbaji wa mbingu na ardhi… kuna ishara kwa watu wenye akili.”
— [Qur’an 3:190]

“Sema: Mnaona mnaowaabudu badala ya Allah? Nionyesheni walichoumba katika ardhi.”
— [Qur’an 46:4]

Uislamu hauifanyi sayansi kuwa Mungu.

Kwa sababu darubini haiwezi kuchukua nafasi ya ujumbe,
Wala hadubini haiwezi kuchukua nafasi ya ukweli.

Kwa hiyo — sayansi haijachukua nafasi ya Mungu.
Inachofanya ni kufafunua ishara za nguvu Zake.

Kwa ufupi Uislamu ni zaidi ya sayansi wanakupa vyote wakati sayanasi inakupa process sio asili na sababu.
Nb.

Soma upate maarifa sio lazima ucomment au uliza tu suali kuendana na mada hiyo.
Huu uliosema jua linazama kwenye matope? Au mwamedi alienda mwezini na kuupasua mwezi?
 
Yesu anaabudiwa na baadhi ya wakristo kwa sababu ameumba ndege. Nimeshakuonyesha alichoumba hapo. Kwa hiyo aendelee kuabudiwa bila shaka ndugu muislam au sio.
Sio Ndege Yesu hana uwezo hata wa kuumba sisimizi
 
Kwa hiyo Aya ya Yesu kuumba ndege unaijua ama huijui?
Hiyo aya iko metaphorically, huwezi kuelewa bila kufuata ufafanuzi hadeeth wewe tayari una magonjwa ya moyo kuelewa sio rahisi mpaka uondewe chuki zako dhidi ya uislamu.
 
Theist Wanakuambia Hatutaki tena Mungu — tunayo sayansi wana sema:

"Dini ilieleza radi sayansi inaieleza vizuri zaidi.”
“Siku moja, sayansi itajibu kila kitu.”

Theist wajue kwamba, Sayansi ni utafiti wa jinsi ulimwengu unavyofanya kazi. Inachunguza, Inapima, Inatabiri. Inajaribu. Lakini sayansi haijibu wala haiwezi kujibu kwa mfano haiwezi kujibu haya:

1.Kwa nini ulimwengu upo kabisa? 2.Kwa nini kuna sheria za asili kabisa?
3.Kwa nini kuna kitu badala ya kutokuwa na kitu?
4. Kusudi la maisha ni nini?
Nini hutokea baada ya kifo?

Sayansi hueleza mfumo Lakini haiwezi kueleza maana.

Inaweza kukuambia mvua inavyonyesha - Lakini si nani anayeiteremsha kwa rehema.

Inaweza kueleza jinsi mtoto anavyoumbwa —Lakini si kwa nini uhai unaanza tumboni.

Inaweza kueleza mapigo ya moyo — Lakini si kwa nini moyo uliumbwa.

Einstein — ambaye hakuwa mtu wa dini — aliwahi kusema:

Sayansi bila dini ni kilema. Hata mwanafizikia asiyeamini Mungu, Paul Davies, alikiri:
Sayansi haiwezi kueleza kwa nini sheria za fizikia zipo... wala kwa nini zimepangwa kwa ukamilifu ili kuhimili uhai.”

Hapo ndipo uabudu wa sayansi (scientism) theist — imani kuwa sayansi pekee inaweza kueleza ukweli wote — unashindwa kabisa.

Kwa sababu:

Sayansi haiwezi kukuambia lipi sahihi au lisilo sahihi.

Sayansi haiwezi kuthibitisha upendo, uzuri, au haki.

Sayansi haiwezi kueleza kwa nini unalia kwa kifo — ingawa ubongo wako “unajua” ni atomi tu.

Sayansi haiwezi kusema kwa nini unajali ukweli hata kidogo.

Lakini Uislamu unaweza Uislamu unakupa vyote:

— Akili ya kuchunguza uumbaji
— Na roho ya kuunganika na Muumbaji
"Hakika katika uumbaji wa mbingu na ardhi… kuna ishara kwa watu wenye akili.”
— [Qur’an 3:190]

“Sema: Mnaona mnaowaabudu badala ya Allah? Nionyesheni walichoumba katika ardhi.”
— [Qur’an 46:4]

Uislamu hauifanyi sayansi kuwa Mungu.

Kwa sababu darubini haiwezi kuchukua nafasi ya ujumbe,
Wala hadubini haiwezi kuchukua nafasi ya ukweli.

Kwa hiyo — sayansi haijachukua nafasi ya Mungu.
Inachofanya ni kufafunua ishara za nguvu Zake.

Kwa ufupi Uislamu ni zaidi ya sayansi wanakupa vyote wakati sayanasi inakupa process sio asili na sababu.
Nb.

Soma upate maarifa sio lazima ucomment au uliza tu suali kuendana na mada hiyo.
Mleta uzi asitake kutuzuga. Laiti angesema kuwa uislam ni zaidi ya ushirikina. Kama ni zaidi ya sayansi, ilikuwaje hadi anaondoka Moody mbona hakuacha hata kipaza sauti achia mbali mambo mengine makubwa? Kama kinachomaanishwa ni sayansi ya uchawi, sina wasi wasi na hili.
 
Sasa kwa akili hizi ulizonazo ndo ulitaka unipime mimi? Huna kitu kichwani, huna point. Nimeona unasema Quran ni kwa ajili ya watu wenye akili, means maislam yote yana akili sio!? Akili ndo kama hizi zako au sio?

Mada ipo wazi kabisa, kuitetea huwezi umebaki kurukaruka tu. Hebu tusubiri wenzio pengine yupo muislam anayejitambua kidogo japo sio rahisi kuona muislam ana maarifa kichwani.
Sawa jiniazi.
 
Kimeandikwa kama.mtu aliyechanga yikiwa anaandika nyuma anarudi mbele. Maandishi yake yamejaa mawengge
 
Mleta uzi asitake kutuzuga. Laiti angesema kuwa uislam ni zaidi ya ushirikina. Kama ni zaidi ya sayansi, ilikuwaje hadi anaondoka Moody mbona hakuacha hata kipaza sauti achia mbali mambo mengine makubwa? Kama kinachomaanishwa ni sayansi ya uchawi, sina wasi wasi na hili.
Mkuu usiwe shallow Muhammad (saw) sio uislamu ila nayeye ni muislamu tofautisha mambo, jambo jingine, sayansi ni paana zaidi ya technology, Yesu ambae ni Mungu kwenu alifariki au kupaa bilaa hata kutegeneza gari ndogo kama Ist, haliayakua ni Mungu, hilo alimaanishe hakua na akili au na uwezo......mkuu usijifungie kwenye box panua akili zako.
 
Theist Wanakuambia Hatutaki tena Mungu — tunayo sayansi wana sema:

"Dini ilieleza radi sayansi inaieleza vizuri zaidi.”
“Siku moja, sayansi itajibu kila kitu.”

Theist wajue kwamba, Sayansi ni utafiti wa jinsi ulimwengu unavyofanya kazi. Inachunguza, Inapima, Inatabiri. Inajaribu. Lakini sayansi haijibu wala haiwezi kujibu kwa mfano haiwezi kujibu haya:

1.Kwa nini ulimwengu upo kabisa? 2.Kwa nini kuna sheria za asili kabisa?
3.Kwa nini kuna kitu badala ya kutokuwa na kitu?
4. Kusudi la maisha ni nini?
Nini hutokea baada ya kifo?

Sayansi hueleza mfumo Lakini haiwezi kueleza maana.

Inaweza kukuambia mvua inavyonyesha - Lakini si nani anayeiteremsha kwa rehema.

Inaweza kueleza jinsi mtoto anavyoumbwa —Lakini si kwa nini uhai unaanza tumboni.

Inaweza kueleza mapigo ya moyo — Lakini si kwa nini moyo uliumbwa.

Einstein — ambaye hakuwa mtu wa dini — aliwahi kusema:

Sayansi bila dini ni kilema. Hata mwanafizikia asiyeamini Mungu, Paul Davies, alikiri:
Sayansi haiwezi kueleza kwa nini sheria za fizikia zipo... wala kwa nini zimepangwa kwa ukamilifu ili kuhimili uhai.”

Hapo ndipo uabudu wa sayansi (scientism) theist — imani kuwa sayansi pekee inaweza kueleza ukweli wote — unashindwa kabisa.

Kwa sababu:

Sayansi haiwezi kukuambia lipi sahihi au lisilo sahihi.

Sayansi haiwezi kuthibitisha upendo, uzuri, au haki.

Sayansi haiwezi kueleza kwa nini unalia kwa kifo — ingawa ubongo wako “unajua” ni atomi tu.

Sayansi haiwezi kusema kwa nini unajali ukweli hata kidogo.

Lakini Uislamu unaweza Uislamu unakupa vyote:

— Akili ya kuchunguza uumbaji
— Na roho ya kuunganika na Muumbaji
"Hakika katika uumbaji wa mbingu na ardhi… kuna ishara kwa watu wenye akili.”
— [Qur’an 3:190]

“Sema: Mnaona mnaowaabudu badala ya Allah? Nionyesheni walichoumba katika ardhi.”
— [Qur’an 46:4]

Uislamu hauifanyi sayansi kuwa Mungu.

Kwa sababu darubini haiwezi kuchukua nafasi ya ujumbe,
Wala hadubini haiwezi kuchukua nafasi ya ukweli.

Kwa hiyo — sayansi haijachukua nafasi ya Mungu.
Inachofanya ni kufafunua ishara za nguvu Zake.

Kwa ufupi Uislamu ni zaidi ya sayansi wanakupa vyote wakati sayanasi inakupa process sio asili na sababu.
Nb.

Soma upate maarifa sio lazima ucomment au uliza tu suali kuendana na mada hiyo.
Sayansi Haina dini
 
Back
Top Bottom