Je, Wajua? Hebu cheki facts toka kwa wenzio hapa na utupe facts zako pia

Je, Wajua? Hebu cheki facts toka kwa wenzio hapa na utupe facts zako pia

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Je WAJUA kuwa MABARA (continents) yote duniani yanaanza na herufi sawa na kumalizika na herufi sawa pia ??
mfano huu hapa :

1. Afrika
2. Asia
3. Ulaya
4. Amerika (Kaskazini)
5. Amerika (kusini)
6. Australia
7. Antaktika

Edit: kasoro bara moja tu la ulaya. Linaloanzia na u.
 
What about
South America
North America

Haiend na formula hiyo
Yote America. Kuna Central America pia.

Afrika kuna north, southern, central, east na west Africa. Southern Africa ili kuepusha mkanganyiko na South Africa ambalo ni jina la nchi.
 
Yote America. Kuna Central America pia.

Afrika kuna north, southern, central, east na west Africa. Southern Africa ili kuepusha mkanganyiko na South Africa ambalo ni jina la nchi.
North africa , west africa yanakaa level moja na north america na south america?
 
Duniani hapa kuna mabara mangapi?

Saba.

Africa ni bara moja mkuu, hakuna west, south Wala north.
Zote hizo zipo ndani ya bara hili moja la Africa (MIZRAIM - ardhi ya watu wenye ngozi ilo chomwa na jua)
 
Back
Top Bottom