Je, Wajua? Hebu cheki facts toka kwa wenzio hapa na utupe facts zako pia

Je, Wajua? Hebu cheki facts toka kwa wenzio hapa na utupe facts zako pia

Truth of the matter is, neither Europe nor Asia are continents. Scientifically speaking.​

Ah ivi ???
Kwamba sijasoma geography vizuri ee ???

Japo nakumbuka Kuna bara linaitwa Eurasia ... Ila sikumbuki ni lipi Kati ya haya Saba niliyo yameza.
 
Ni kweli Ila main agenda zote ni amerka.

Amerika ya juu (kusini)
Ya Chini (kaskazini)
Uneedit post. Awali haikuwa hivyo kama inavyosomeka hapo.

Pia kwann uweke mabano wakat ni mabara mawili tofauti?.

Kwahiyo sio mabara yote yanaanzia na A na kumalizika na A
 
MABARA ni Saba mkuu.

Ila swala la north Africa, west na south ni bara moja hapo.
Zote zinapatikana ndani ya africa
Sawa mkuu, nilitaka tu kukazia pale kwamba north america na south america haziwezi kaa meza moja na north africa na west africa
 
Ah ivi ???
Kwamba sijasoma geography vizuri ee ???

Japo nakumbuka Kuna bara linaitwa Eurasia ... Ila sikumbuki ni lipi Kati ya haya Saba niliyo yameza.
Eurasian landmass is a contiguous continent encompassing the place called Europe and Asia. Europe and Asia are just one landmass.

Whites made Europe a separate continent.​
 
Eurasian landmass is a contiguous continent encompassing the place called Europe and Asia. Europe and Asia are just one landmass.

Whites made Europe a separate continent.​


Okay , thanks sir.
There I've remembered . Niliyoyataja Mimi ni kwa mtazamo wa cultural and political orientation... Leaving out scientific approach.
 
Back
Top Bottom