DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 242
- 676
Kifo cha mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, kimetokea tarehe 29, mwezi Februari. Hii ni tarehe ya kutatainisha mno kwani tutakapotaka kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kifo chake kuna miaka tutaikosa kwa kuwa ni tarehe ambayo hutokea kila baada ya miaka minne tu, miaka mingine haitakuwepo. Sasa hapo itakuwaje? Wajuzi mtujuze.
Tena tatanishi na gonga kichwaSwali Zuri.
Siku Hakuna 29, Basi kuna 1, Au 28.Kifo cha mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, kimetokea tarehe 29, mwezi Februari. Hii ni tarehe ya kutatainisha mno kwani tutakapotaka kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kifo chake kuna miaka tutaikosa kwa kuwa ni tarehe ambayo hutokea kila baada ya miaka minne tu, miaka mingine haitakuwepo. Sasa hapo itakuwaje? Wajuzi mtujuze.
+1, -1.Tena tatanishi na gonga kichwa
JE WAJUA?
Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea...
Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. [emoji119][emoji119]
R.IP Rais Mwinyi
View attachment 2920729View attachment 2920730
HakikaKumuenzi MTU ni kufanya yale mema yake aliyokuwa akiyahubiri. Na. Sio Kama mnavyotaka kuiweka
Labda mleta uzi ndugu yakewatakumbuka nduguze sasa sisi tutakua tumeshasahau