Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Kama uonavyo kwenye makampuni ama viwanda vya kutengeneza vitu mbalimbali na kwenye ulimwengu wa giza ni hivyo hivyo!?
Kuna maduka maalum ya kuuza zana na vipuri vya tunguri
Kuna watu maalum wa kusuka tunguli kulingana na mahitaji ya mteja
Kuna wauza tunguli feki na original
Kuna tunguli used
Tunguli pia zina kikomo cha kuwa (life span)
Kuna service za tunguli . service kubwa kuna wataalam wake... Service ndogo hufanywa na msaidizi
Service maalum kwa kazi maalum hufanywa na mtaalam mwenyewe
Tunguli iki expire inapigwa kibiriti
Tunguli ikipungua nguvu inapigwa service kuongezewa chaji
Mtaalam akiingiza mitambo mipya (tunguli ) ya zamani huuza kwenye soko la used, hugawa kwa rafiki ama huuza kwa wanafunzi ama wanao anza kazi
Kitu cha kushangaza chumba chenye tunguli(haingii mama wala watoto hasa wa kike)
Hakuna mazishi ya tunguli iliyokoma kuwa bali huchomwa moto na jivu lake kutumika kama catalyst mpya ya kutia chaji kwenye tunguli zingine