Je wajua!?: Hirizi nazo hufanyiwa service? Na zina expire date?

Je wajua!?: Hirizi nazo hufanyiwa service? Na zina expire date?

Hahahha madizini pale pamechangamka sana ila watu wana amini uchawi mno , uliwaona wapare na wachaga wakuchovya?


Pale madizini nilipajua masawe pub karibu na turian stand buss na bich bar tu 😅😅
Kweli unapafahamu vema😀 Nilipapenda pamechangamka sana na ndugu zangu kweli ndio wamepachangamsha
 
Kweli unapafahamu vema😀 Nilipapenda pamechangamka sana na ndugu zangu kweli ndio wamepachangamsha
Kitu nilifurah bado mchaga shayo hardware na matemba , ukiweka na wa pare , sukuma na waha wanashikilia uchumi, wazigua hakuna kitu mle🚮🚮
 
Back
Top Bottom