Au sioWewe ni rafiki yangu hivyo acha niunge mkono hoja🤣🤣
Kumbee! Sa hawa wanabisha nini?Ni kweli zinalipuka kwakuwa nyingi zimetengenezwa na vilipuzi vya kiroho
SureAu sio
Aisee Madizini niliwahi kufika niliingilia Mbwewe nikala pori kwa pori kijiji kwa kijiji mpaka Madizini.Mshana Jr toka madizini mvomero mpaka dawaka mpaka lusanga wananifahamu kupinga uchawi na ujinga mwingine na hakuna kitu wanafanya zaidi ya kuniogopa
Hahahha madizini pale pamechangamka sana ila watu wana amini uchawi mno , uliwaona wapare na wachaga wakuchovya?Aisee Madizini niliwahi kufika niliingilia Mbwewe nikala pori kwa pori kijiji kwa kijiji mpaka Madizini.
Kiukweli uchawi siku hizi ni mama hakuna
Na wanguu.. Roho mbaya shetani kasingiziwa😀
Waha wa Kigoma unawafahamu?Kuna wa zigua jamii ya hovyo sna niliyo wahi ishi nayo mvomero🚮
Waha hakuna kitu , mnawajaza vilaza tu humuWaha wa Kigoma unawafahamu?
Nawajua na nimelima tumbaku kigoma gademit🚮Waha wa Kigoma unawafahamu?
Kwenye uchawi hawana kitu ila kwenye roho mbaya hawana mpinzaniWaha hakuna kitu , mnawajaza vilaza tu humu
Waha ni watu wana pambana sana na kutafuta pesa , kwa hilo nawakubali mnoKwenye uchawi hawana kitu ila kwenye roho mbaya hawana mpinzani
Ila kwenye roho mbaya na majungu hawana mpinzaniWaha ni watu wana pambana sana na kutafuta pesa , kwa hilo nawakubali mno
Nawaona kawaida tu , ukiwa mfanya biashara hauhitaji kuwa na roho nzuriIla kwenye roho mbaya na majungu hawana mpinzani
DuhNawaona kawaida tu , ukiwa mfanya biashara hauhitaji kuwa na roho nzuri
Ushanifahamu?
Sijawahi kufanya biashara ndiyo maana nimeshangaa kwamba roho mbaya inahitajika!Ushanifahamu?
Kupata faida nan kakudanganya kuna hitaji roho nzuri?Sijawahi kufanya biashara ndiyo maana nimeshangaa kwamba roho mbaya inahitajika!