Je wajua!?: Hirizi nazo hufanyiwa service? Na zina expire date?

Hahahha madizini pale pamechangamka sana ila watu wana amini uchawi mno , uliwaona wapare na wachaga wakuchovya?


Pale madizini nilipajua masawe pub karibu na turian stand buss na bich bar tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Kweli unapafahamu vema๐Ÿ˜€ Nilipapenda pamechangamka sana na ndugu zangu kweli ndio wamepachangamsha
 
Kweli unapafahamu vema๐Ÿ˜€ Nilipapenda pamechangamka sana na ndugu zangu kweli ndio wamepachangamsha
Kitu nilifurah bado mchaga shayo hardware na matemba , ukiweka na wa pare , sukuma na waha wanashikilia uchumi, wazigua hakuna kitu mle๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Kitu nilifurah bado mchaga shayo hardware na matemba , ukiweka na wa pare , sukuma na waha wanashikilia uchumi, wazigua hakuna kitu mle๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ sijui sass hivi pakoje nilienda mara ya mwisho 2012
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ