Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
Unampangia mtuHii ni aibu kwa waislamu wote wanaomtetea Ayatollah, kwa sababu kuuza Figo ama viungo vya binadamu haviruhusiwi kwa Sheria za dini ya mwenyeeeeeeeeerrz
Kwa bahati mbaya wageni hawaruhusiwi🤣🤣🤣Hii ni kwa raia tu wa huko au hata nikiamua kwenda kama vacation then nikaamua kuuza figo moja inawezekana.?? 😎
Hapa uislamu unaingiaje? Mambo ya Ngoswe muachieHii ni aibu kwa waislamu wote wanaomtetea Ayatollah, kwa sababu kuuza Figo ama viungo vya binadamu haviruhusiwi kwa Sheria za dini ya mwenyeeeeeeeeerrz
Toa credit kwa chatgptKwa bahati mbaya wageni hawaruhusiwi🤣🤣🤣
Serikali ya Iran sio ya kiislamu ni serikali inayoongozwa kishia, na ushia umeelekea kwenye uyahudi zaidi ni dini tofauti na uislamu.Hii ni aibu kwa waislamu wote wanaomtetea Ayatollah, kwa sababu kuuza Figo ama viungo vya binadamu haviruhusiwi kwa Sheria za dini ya mwenyeeeeeeeeerrz
Bro, mbona hela ndogo sana hiyo, yaani USD 1300? Hata Tsh 4M hazifikia?Hii ni kwa raia tu wa huko au hata nikiamua kwenda kama vacation then nikaamua kuuza figo moja inawezekana.?? 😎
Sema watatz tunaopeo mdogo sana kufikiri na kutambua mambo hata kama yameelezwa Kwa uwazi kabsa watu kama nyinyi lazma muwepo Tena NDO mpo wengi sanaBro, mbona hela ndogo sana hiyo, yaani USD 1300? Hata Tsh 4M hazifikia?
Yamekuwa hayo tenaSerikali ya Iran sio ya kiislamu ni serikali inayoongozwa kishia, na ushia umeelekea kwenye uyahudi zaidi ni dini tofauti na uislamu.
Nauli ya kwenda na kurudi ni zaidi ya bei na OFA ya mnunuzi Sasa hiyo utakuwa hasara.Bro, mbona hela ndogo sana hiyo, yaani USD 1300? Hata Tsh 4M hazifikia?
Nimekurupuka tu na hii topic??? Hudhani nilikuwa najua beforehand???🤣🤣🤣Toa credit kwa chatgpt
Acha unyumbu