Zero 2 Hero
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 649
- 1,461
1 USD Kuwa 42100 za Iran hakusababishi Irani kuwa maskini kuliko Tanzania ambako 1USD=2690Tsh. Ukiwa Iran dola ni adimu sana na kuadimika huko kunakosababishwa na vikwazo walivyowekewa na Marekani ndio kunasababisha dola iwe ghali sana.Kile tunacho kisikia kuhusu Iran huenda kwa ground wapo vibaya sana. I can figure it out kwamba maisha ya wananchi wa kawaida ni magumu sana kuliko tunavyo ambiwa; huenda hali ya Iran na Korea ya kaskazini vipo sawa tu; wame invest sana kwenye security and intelligence lakini kwa maisha ya kawaida sio kiviiile. Tazama hata viongozi wetu wazurulaji duniani, huwasikii wakienda NK, Iran but kucha kutwa wanakwenda kwenye nchi ambazo haziendekezi mambo ya kidini ki viiile kama Dubai, Dubai kuna kila aina ya ufusika wallah ila hata wavaa ushungi wanakwenda kule na sio Iran. Kuna jambo tunafichwa kuhusu Iran; wale ni Waafrica walio changamka.
Bahati nzuri wana-export kuliko wanavyo-import hivyo inawasaidia kutatua changamoto ya dola kwenye ngazi za kiserikali ila kwa wananchi wa kawaida bado ni tatizo kubwa.
GDP ya Iran ni x4 ya GDP ya Tz
Hata GDP per Capita ya Iran bado ni x4 kwa ile ya kwetu.
Pesa inayoongoza kwa thamani ni Dinar ya kuwait ila uchumi wa kuwait ni mdogo mno kwa ule wa marekani.