gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Shia waislam, ujinga wao tu ni kulilia Ali kuwa khalifa hadi leo miaka zaidi ya elfu mojaSerikali ya Iran sio ya kiislamu ni serikali inayoongozwa kishia, na ushia umeelekea kwenye uyahudi zaidi ni dini tofauti na uislamu.
1 USD=42000 IRRKwamba milioni 800 za Iran ni sawa na dola 1300?
Mbona hilo liko wazi mashia wana swala zao tofauti na zetu, na shahada na adhana kila kitu ni tofauti kubwa zaidi itikadi yetu na wao ni tofauti kabisa.Yamekuwa hayo tena
Wanaitia makosa Qu'ran, wanasema mtume swala na amani ziwe juu yake alipewa utume kimakosa, wamefikia kusema muabudiwa wetu sio muabudiwa wao, mashia kwa ujumla wao sio waislamu.Shia waislam, ujinga wao tu ni kulilia Ali kuwa khalifa hadi leo miaka zaidi ya elfu moja
Hapana,hawaitii makosa Quran wala hawasemi mtume alipewa utume kimakosa, maana wao husema mtume alisema Ali ndiyo awe kiongozi yeye akiondoka, ndiyo maana hadithi ile maarufu ya hijja ya kuaga wao husema mtume alisema Quran na ahlul baytWanaitia makosa Qu'ran, wanasema mtume swala na amani ziwe juu yake alipewa utume kimakosa, wamefikia kusema muabudiwa wetu sio muabudiwa wao, mashia kwa ujumla wao sio waislamu.
Kile tunacho kisikia kuhusu Iran huenda kwa ground wapo vibaya sana. I can figure it out kwamba maisha ya wananchi wa kawaida ni magumu sana kuliko tunavyo ambiwa; huenda hali ya Iran na Korea ya kaskazini vipo sawa tu; wame invest sana kwenye security and intelligence lakini kwa maisha ya kawaida sio kiviiile. Tazama hata viongozi wetu wazurulaji duniani, huwasikii wakienda NK, Iran but kucha kutwa wanakwenda kwenye nchi ambazo haziendekezi mambo ya kidini ki viiile kama Dubai, Dubai kuna kila aina ya ufusika wallah ila hata wavaa ushungi wanakwenda kule na sio Iran. Kuna jambo tunafichwa kuhusu Iran; wale ni Waafrica walio changamka.1 USD=42000 IRR
Piga hesabu mwenyewe
Vikwazo vya nchi za magharibi nazo zina play part kuna kusababisha Iran na Korea kaskazini kuwa zilivyo.Urusi kinachomsaidia ana natural resources nyingi sanaKile tunacho kisikia kuhusu Iran huenda kwa ground wapo vibaya sana. I can figure it out kwamba maisha ya wananchi wa kawaida ni magumu sana kuliko tunavyo ambiwa; huenda hali ya Iran na Korea ya kaskazini vipo sawa tu; wame invest sana kwenye security and intelligence lakini kwa maisha ya kawaida sio kiviiile. Tazama hata viongozi wetu wazurulaji duniani, huwasikii wakienda NK, Iran but kucha kutwa wanakwenda kwenye nchi ambazo haziendekezi mambo ya kidini ki viiile kama Dubai, Dubai kuna kila aina ya ufusika wallah ila hata wavaa ushungi wanakwenda kule na sio Iran. Kuna jambo tunafichwa kuhusu Iran; wale ni Waafrica walio changamka.
Endelea kujidanganya unazan wanaongozwa na ccm hukoKile tunacho kisikia kuhusu Iran huenda kwa ground wapo vibaya sana. I can figure it out kwamba maisha ya wananchi wa kawaida ni magumu sana kuliko tunavyo ambiwa; huenda hali ya Iran na Korea ya kaskazini vipo sawa tu; wame invest sana kwenye security and intelligence lakini kwa maisha ya kawaida sio kiviiile. Tazama hata viongozi wetu wazurulaji duniani, huwasikii wakienda NK, Iran but kucha kutwa wanakwenda kwenye nchi ambazo haziendekezi mambo ya kidini ki viiile kama Dubai, Dubai kuna kila aina ya ufusika wallah ila hata wavaa ushungi wanakwenda kule na sio Iran. Kuna jambo tunafichwa kuhusu Iran; wale ni Waafrica walio changamka.
Najidanganyaje mkuu? Nimewahi kuishi na kufanya kazi middle east, Saudia napafahamu; so walau Geography ya maeneo hayo naijua. Labda badala ya kunikosoa, ungekosoa hoja yangu; lini umewahi kuwasikia hawa Travellers wetu wakienda Iran or North Korea? Lini? Hakuna mvuto pale, tunawakuza sana WaajemiEndelea kujidanganya unazan wanaongozwa na ccm huko
Mtanzania eandee Iran kufanya Γ±n na wao wanatafuta ngono popote panapowezekana tu, mtanzania ataenda Dubai marekan uingereza na nchi za dizain hyo uko Iran wanaenda wenye pesa za kufanya uwekezaj tu sio wakina baba levo na maulid kitengeNajidanganyaje mkuu? Nimewahi kuishi na kufanya kazi middle east, Saudia napafahamu; so walau Geography ya maeneo hayo naijua. Labda badala ya kunikosoa, ungekosoa hoja yangu; lini umewahi kuwasikia hawa Travellers wetu wakienda Iran or North Korea? Lini? Hakuna mvuto pale, tunawakuza sana Waajemi
Turudi kwenye msingi wa HOJA yetu. Iran inakuzwa sana, kama figo raia wanauza kwa dola 1300 kiasi ambacho siamini kama kuna nchi nyingine ya Kiarabu raia wake wanaweza kufanya hivo; Iran ni masikini sana. Dola 1300 ni Tsh 3.25M. Hawa ni Waafrica tu walio changamka. Same as North Korea; uwekezaji mwingi unafanywa kwenye security and intelligence badala ya mambo ya maendeleo kama viwanda, biashara na uwekezaji wenye tija.Mtanzania eandee Iran kufanya Γ±n na wao wanatafuta ngono popote panapowezekana tu, mtanzania ataenda Dubai marekan uingereza na nchi za dizain hyo uko Iran wanaenda wenye pesa za kufanya uwekezaj tu sio wakina baba levo na maulid kitenge
Wewe akili huna mropokaji na mwenye chuki pia, umeambia Kuna malipo ya aina mbili Dola 1300 ni za kiserikali na Kuna mapatano baina ya muuzaji na mnunuzi ambayo inaweza fika Hadi Dola 15000 had 20000, Sasa hapo ujaelewa Nini na mleta mada kaelezea YOTE au ndo kujitoa ufahamu au ni chuki zako?Turudi kwenye msingi wa HOJA yetu. Iran inakuzwa sana, kama figo raia wanauza kwa dola 1300 kiasi ambacho siamini kama kuna nchi nyingine ya Kiarabu raia wake wanaweza kufanya hivo; Iran ni masikini sana. Dola 1300 ni Tsh 3.25M. Hawa na Waafrica tu walio changamka. Same as North Korea; uwekezaji mwingi unafanywa kwenye security and intelligence badala ya mambo ya maendeleo kama viwanda, biashara na uwekezaji wenye tija.
Bro, mbona unakimbilia kwenye CHUKI? Mimi nipo Tanzania huku nikaichukie nchi ilioko mbaali huko ili inisaidie nini? Look, wengine huaga tunaangalia vitu vya kuviingiza mioyoni mwetu ili moyo usijaze vitu visivyo na maana, chuki na mahaba vyote vinatokea moyoni na mimi sina muda huo. Jambo rahisi tu usilo lielewa, bei ya serikali ndio hiyo. Figo 1 bei yake ni milioni 3 kwa pesa za Tanzania. Irani zaidi ya security ni Korea iliochangamka; bei ya figo kama ipo hivo and watu wanakwenda kuuza, ni tafsiri rahisi tu kwamba uchumi wa Iran wengi ni mdogo. Utaamua wewe kupenda kimahaba au kunichukia mimi, hiyo ni hiyari yako.Wewe akili huna mropokaji na mwenye chuki pia, umeambia Kuna malipo ya aina mbili Dola 1300 ni za kiserikali na Kuna mapatano baina ya muuzaji na mnunuzi ambayo inaweza fika Hadi Dola 15000 had 20000, Sasa hapo ujaelewa Nini na mleta mada kaelezea YOTE au ndo kujitoa ufahamu au ni chuki zako?
Ww ni mgumu kuelewa kwakwel nahisi hata elimu huna gumbaru, unaambia kiserikali ni Dola 1300 lakn mnunuz na mteja wanaweza kΓ a kupanga Bei inayokadiliwa 15k had 20k Dola, Sasa umeamisha magoli eti mpaka MTU atoe Figo ndo hizo Hela za makubaliano Yao binafs ndo znatolewa! Nikuulze hayo maelezo umeyatoa WAPI na WAPI umewahi ona biashara ya namna ya Mali Kauli kwenye viungo vya mwili? Nikisema unachuki na waarabu sijui waajemi unaanza kuleta ngonjera wakati maelezo umepewa lakn unajitungia maelezo Yako unayoyapenda ww, we unazan serikali Kwann wameruhusu mnunuz na mteja kuongea? Ni kutokana wameona Hela waloweka wao sio reasonable lkn IPO kisheria, halafu kuwa mjinga unafananisha maisha ya wairan ni sisi hoehae ambapo unakuta MTU had anakufa ajawah miliki million 2 ya pamoja kwel waafrica alieturoga kafaBro, mbona unakimbilia kwenye CHUKI? Mimi nipo Tanzania huku nikaichukie nchi ilioko mbaali huko ili inisaidie nini? Look, wengine huaga tunaangalia vitu vya kuviingiza mioyoni mwetu ili moyo usijaze vitu visivyo na maana, chuki na mahaba vyote vinatokea moyoni na mimi sina muda huo. Jambo rahisi tu usilo lielewa, bei ya serikali ndio hiyo. Figo 1 bei yake ni milioni 3 kwa pesa za Tanzania. Irani zaidi ya security ni Korea iliochangamka; bei ya figo kama ipo hivo and watu wanakwenda kuuza, ni tafsiri rahisi tu kwamba uchumi wa Iran wengi ni mdogo. Utaamua wewe kupenda kimahaba au kunichukia mimi, hiyo ni hiyari yako.
Akili za kawaida kabisa, mmeuziana kwa bei ya serikali, mwenzio kisha pona eti ndio mfikiane kwenye USD 15k? Hutumii hata akili kidogo? Shida yake mwenzio imeisha, mapatano ya nje yatategemea na imani ya mtu, wahuni wanajua mmeisha malizana
π π π π π€£ π π π wewe ndio huelewi. Yaani bei ya serikali ni dola 1300. Now fikirisha akili zako kidogo tu, achana na ngumalu yangu. Nchi ambayo wananchi wake wana uchumi mzuri, toa Iran weka nchi nyingine ya Kiarabu, yeyote tu unayo ijua wewe, halafu wananchi wake kama wanaweza kukubali kutoa figo kwa bei elekezi. Taja nchi moja tu. Hiyo bei elekezi (achana na hizo za back market ) na watu wanatoa, tafsiri yake ni 2 tu, is either Wairan wana huruma sana or ni mafukara mno, wanaona better kuuza kiungo kwa bei ya Tsh 3M. Bongo hapa, utawapata wachache mnoWw ni mgumu kuelewa kwakwel nahisi hata elimu huna gumbaru, unaambia kiserikali ni Dola 1300 lakn mnunuz na mteja wanaweza kΓ a kupanga Bei inayokadiliwa 15k had 20k Dola, Sasa umeamisha magoli eti mpaka MTU atoe Figo ndo hizo Hela za makubaliano Yao binafs ndo znatolewa! Nikuulze hayo maelezo umeyatoa WAPI na WAPI umewahi ona biashara ya namna ya Mali Kauli kwenye viungo vya mwili? Nikisema unachuki na waarabu sijui waajemi unaanza kuleta ngonjera wakati maelezo umepewa lakn unajitungia maelezo Yako unayoyapenda ww, we unazan serikali Kwann wameruhusu mnunuz na mteja kuongea? Ni kutokana wameona Hela waloweka wao sio reasonable lkn IPO kisheria, halafu kuwa mjinga unafananisha maisha ya wairan ni sisi hoehae ambapo unakuta MTU had anakufa ajawah miliki million 2 ya pamoja kwel waafrica alieturoga kafa
Wewe nawe hiyo dola 15k hadi 20k kwa Figo umetoa wapi wakati mtoa mada kasema dola 5k-10k? Kwa upande wa ini ndo kasema dola 20kWewe akili huna mropokaji na mwenye chuki pia, umeambia Kuna malipo ya aina mbili Dola 1300 ni za kiserikali na Kuna mapatano baina ya muuzaji na mnunuzi ambayo inaweza fika Hadi Dola 15000 had 20000, Sasa hapo ujaelewa Nini na mleta mada kaelezea YOTE au ndo kujitoa ufahamu au ni chuki zako?
Mkuu utofauti wa waislamu na mashia sio kwenye uongozi baada ya mtume kuondoka pekee, jisomee zaidi.Hapana,hawaitii makosa Quran wala hawasemi mtume alipewa utume kimakosa, maana wao husema mtume alisema Ali ndiyo awe kiongozi yeye akiondoka, ndiyo maana hadithi ile maarufu ya hijja ya kuaga wao husema mtume alisema Quran na ahlul bayt
Mafukara ukiwalinganisha na kina Nan?π π π π π€£ π π π wewe ndio huelewi. Yaani bei ya serikali ni dola 1300. Now fikirisha akili zako kidogo tu, achana na ngumalu yangu. Nchi ambayo wananchi wake wana uchumi mzuri, toa Iran weka nchi nyingine ya Kiarabu, yeyote tu unayo ijua wewe, halafu wananchi wake kama wanaweza kukubali kutoa figo kwa bei elekezi. Taja nchi moja tu. Hiyo bei elekezi (achana na hizo za back market ) na watu wanatoa, tafsiri yake ni 2 tu, is either Wairan wana huruma sana or ni mafukara mno, wanaona better kuuza kiungo kwa bei ya Tsh 3M. Bongo hapa, utawapata wachache mno
Kwanza elimikaπ π π π π€£ π π π wewe ndio huelewi. Yaani bei ya serikali ni dola 1300. Now fikirisha akili zako kidogo tu, achana na ngumalu yangu. Nchi ambayo wananchi wake wana uchumi mzuri, toa Iran weka nchi nyingine ya Kiarabu, yeyote tu unayo ijua wewe, halafu wananchi wake kama wanaweza kukubali kutoa figo kwa bei elekezi. Taja nchi moja tu. Hiyo bei elekezi (achana na hizo za back market ) na watu wanatoa, tafsiri yake ni 2 tu, is either Wairan wana huruma sana or ni mafukara mno, wanaona better kuuza kiungo kwa bei ya Tsh 3M. Bongo hapa, utawapata wachache mno