Je Wajua Iran unaweza kuuza viungo vyako vya miili?

1 USD Kuwa 42100 za Iran hakusababishi Irani kuwa maskini kuliko Tanzania ambako 1USD=2690Tsh. Ukiwa Iran dola ni adimu sana na kuadimika huko kunakosababishwa na vikwazo walivyowekewa na Marekani ndio kunasababisha dola iwe ghali sana.
Bahati nzuri wana-export kuliko wanavyo-import hivyo inawasaidia kutatua changamoto ya dola kwenye ngazi za kiserikali ila kwa wananchi wa kawaida bado ni tatizo kubwa.
GDP ya Iran ni x4 ya GDP ya Tz
Hata GDP per Capita ya Iran bado ni x4 kwa ile ya kwetu.

Pesa inayoongoza kwa thamani ni Dinar ya kuwait ila uchumi wa kuwait ni mdogo mno kwa ule wa marekani.
 
Kipato cha mtu mmoja mmoja ndani ya iran ni x4 ya kipato cha mtanzania
 
Kuhusu watu kuwa na hali mbaya kiuchumi sibishi
 
Kuhusu watu kuwa na hali mbaya kiuchumi sibishi
Ndio ninacho kisema. Ukiona mtu anaweza kuuza kiungo chake cha mwili kwa bei kama usd 1300, huyo ni masikini, huyo ni fukara. Huwezi kusikia jambo kama hilo kwa any Arabic countries eti mtu auze figo kwa bei kama hiyo, only to the poor countries
 
We jamaa nihitimishe kusema we ni tahira
 
Aisee, Hii ingekuja Bongo si ingeshambuliwa sana na wanyonge?
 
Haobadirishi maana; siwezi kua tahira kwa mwandiko wako. Only poor people can sell their organs with that amount of money. Kama kwa kujua hili ni utahira basi nashukuru
Hakuna anaeuza kiungo Kwa pesa hyo uwe muelewa Kuna muda hiyo ni motisha kutoka serikalin Kwa muuzaji, muuzaji na mnunuz watapanga Bei Yao UKo wenyew lakn motisha ya serikal ipo palepale kama unavopewa soda na biscuit unapotoa damu
 
Baada ya uthman bin affan alifata nani?
Nimekwambia waligawana dola la kiislam na muawiyah,muawiya hakumpa Ali baiya,wakapigana hadi vita na kuuana kwa maelfu, ndiyo mwanzo wa mgawanyiko wa umma wa kiislam
 
Nimekwambia waligawana dola la kiislam na muawiyah,muawiya hakumpa Ali baiya,wakapigana hadi vita na kuuana kwa maelfu, ndiyo mwanzo wa mgawanyiko wa umma wa kiislam
Kwahiyo tunadangwanya tunavyoambiwa Ali alikua khalifa wanne ,kwa maana kuanzia leo nianze kuamini hakua khalifa wa nne bali waligawana dola.sawa naomba dalili ya hayo
 
Kwahiyo tunadangwanya tunavyoambiwa Ali alikua khalifa wanne ,kwa maana kuanzia leo nianze kuamini hakua khalifa wa nne bali waligawana dola.sawa naomba dalili ya hayo
Soma,we unasikiliza watu tu!!..ugomvi wa Ali na muawiya ni kifo cha uthman,muawiya akitaka uchunguzi ufanyike kwanza ndiyo atoe kiapo cha utii kwa Ali (baiya) wakati wanazi wa Ali wakitaka baiya kabla ya uchunguzi,zikapigwa,muawiya akachukua sehemu yake ya dola la kiislam Ali akabaki na yake
 
Mtu akikwambia nipe dalili maana yake anataka kusoma.vp hawa waislam wote wanaoamini masqahaba wakuu wanne abubakr,umar,uthamn na aliy ,kwanini hawamtaji huyo muawiya?
Dola walizogawana ni wapi na wapi?? Na huko alipotawala muawiya wanamtambua kama khalifa wao na sio aliy au wanamtambuaje ?? Na vp kuhusu aliy huko alipotawala umaiya wanamtambua kama nani ?? Ni dhehebu gani hilo hapa duniani ambalo kwao aliy sio khalifa bali ni huyo umaiya??
Yote haya naomba unijibi kwa dalili ili nijifunze zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…