Je wajua? Jumlisha Marekani, china na ulaya kwa pamoja ni ndogo kuliko bara la Afrika

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Kumbe Africa yetu ni kubwa kuliko tulivyochorewa kwenye ramani.

BBC Swahili imekuja na ripoti iliyoandakiwa na wataalamu toka Africa kuwa baada ya tafsiri na vipimo vya ardhi ya nchi zote Afrika,

Imebainika kuwa Africa ni kubwa kuliko marekani,china na ulaya kwa pamoja na Nafasi inabaki.

Africa Tume barikiwa,
Tunaweza kuilisha Dunia organic food.

Source: BBC Swahili
 
Kwani Bashir anasemaje
 
Kwani Bashir anasemaje
Bara la ulaya kwenye ramani wamelitanua lionekane kubwa kumbe ni vinchi vidogo,

Unavikusanya vyote pamoja, chukua china na marekani bado Nafasi inabaki bara la Afrika
 
Salaam!

Kumbe Africa yetu ni kubwa kuliko tulivyochorewa kwenye ramani.

BBC Swahili imekuja na ripoti iliyoandakiwa na wataalamu toka Africa kuwa baada ya tafsiri na vipimo vya ardhi ya nchi zote Afrika,

Imebainika kuwa Africa ni kubwa kuliko marekani,china na ulaya kwa pamoja na Nafasi inabaki.

Africa Tume barikiwa,
Tunaweza kuilisha Dunia organic food.

Source: BBC Swahili
Una elimu gani kuhusu jiografia na maswala ya ramani ?
 
Hiyo Elimu uliyonayo ulidhani ni Nuru kumbe Giza.

Ulidanganywa.

Ndio ninyi Hadi Leo mnaamini Dunia inazunguka ikiwa tufe kama chungwa!
 
Nilidanganywa na nani ? Na elimu gani hiyo niliyo danganywa ?
 
Hapa
Hiyo Elimu uliyonayo ulidhani ni Nuru kumbe Giza.

Ulidanganywa.

Ndio ninyi Hadi Leo mnaamini Dunia inazunguka ikiwa tufe kama chungwa!
Hapa hata Mimi umenichanganya. Inamaana dunia haizunguki Kama tufe hebu nipe elimu kidogo au reference nami nikajielimishe
 
Back
Top Bottom