Although uko late, walitangaza hii kitu december 19 mwaka jana, but watu wengi hawakutia attentionKama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili msimbo (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana Chukua hii No+1 (800) 242-8478 i save katika phone book yako kama Chat GPT nenda whatsapp kama itafute utaikuta uliza chochote kwa lugha yoyote na utajibiwa Asante!
😂😂😂 Punguza makasiriko, si lazima ulete. Wako watu wengi wanajua hii kabla hata ya ww kuletaMbona ukuleta acha ushamba ujuaji mwingi hovyo
libishi kweli naliomba punene linasema nijiheshimu!..😂Mie Thomaso nasubiri wengine wajaribu walete mrejesho!
Mfano naweza uliza nini?Ni genuine and verified by whats app
chochote tu!Mfano naweza uliza nini?
Huu ni ujinga ndugu. Why usi thamini mchango wa mwezio?Although uko late, walitangaza hii kitu december 19 mwaka jana, but watu wengi hawakutia attention