implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 2,109
- 2,157
Ila uwezi mwuliza jambo la leo hii akakujibu,anajibu yaliyopita kitaambo au miezi kadhaa ilopita na awe data hizo.Anakusanya taarifa kutoka vyanzo mbalimbali kumbuka swali lako wewe siyo wakwanza kuuliza hivyo katika muda wa sekunde anakuwa kaishazipata anakutumia