Je wajua? kama Whatsapp yako ina Chat GPT??

Je wajua? kama Whatsapp yako ina Chat GPT??

sema ukiliambia liache hichi linaacha...😂
Sema nini linaweza kujua Dr kapita round na umepewa dawa ndo maana unasema liache😀😀😀😀
 
Akina Thomaso tunasubiri wengine wajaribu walete mrejesho!
Ni kweli bwana hili hapa sema lina dharau 😀
Screenshot_2025-04-09-11-49-24-83.png
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana Chukua hii No+1 (800) 242-8478 i save katika phone book yako kama Chat GPT,baada ya hapo nenda whatsapp itafute kama Chat GPT utaikuta uliza chochote kwa lugha yoyote na utajibiwa Asante!
Tongo tongo zote kutoa!

Uso umetakataje, Jf ni zaidi ya university mazee, dah!

Shukrani kubwa kugawa maujanja kwa wadau wenzako.

Na ulijuaje?
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana Chukua hii No+1 (800) 242-8478 i save katika phone book yako kama Chat GPT,baada ya hapo nenda whatsapp itafute kama Chat GPT utaikuta uliza chochote kwa lugha yoyote na utajibiwa Asante!
Asante sana mkuu
nimefuata maelekezo na imekubali
 
Yah mi ndio nimekosea sijasoma vizuri, kwa maelezo ya mtoa mada yupo sahihi.

Nilikua naongelea AI yao wenyewe WhatsApp na sio 3rd party.

Soon utaiona kwenye whatsapp yako wamesha anza kuroll, ufanyaji kazi wake ni kama Grok ya twitter.
Meta AI kwenye WhatsApps inatumika baadhi ya nchi km Kenya ni suala muda tu itatumika Global..
 
Back
Top Bottom