Je wajua? kama Whatsapp yako ina Chat GPT??

Je wajua? kama Whatsapp yako ina Chat GPT??

Kongole mtoa mada Mimi nimejua Leo , lakini sioni haja kuwa nayo kwani Nina Gemin , Gpt ,Poe , Capilot and Perplexity zoete hizo ni mitambo yangu ya Al kunisaidia kazi zangu labda nigundue kama inautofauti na upekee ndio nitaitumia
 
ChatGPT ni more advanced kuliko AI ulizozitaja
 
ChatGPT ni more advanced kuliko AI ulizozitaja
Nakubalina na wewe, na ChatGtp nayo natumia kila tools Ina strength na weakness yake na Mimi nishajulia nikitaka kitu Fulani niende wapi ila mara nyingine nafanya comparison nione wapi watakuwa na majibu mazuri zaidi.

Gemini naye yupo moto , Perplexity yupo vizuri kwenye short and clear answer bila mambo mengi
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana Chukua hii No+1 (800) 242-8478 i save katika phone book yako kama Chat GPT,baada ya hapo nenda whatsapp itafute kama Chat GPT utaikuta uliza chochote kwa lugha yoyote na utajibiwa Asante!
Nilikuwa sijui, asante sana
 
ila jamani huwa anawezaje kujibu majinu ambayo unamuuliza naomba nifahamu hapa
 
ila jamani huwa anawezaje kujibu majinu ambayo unamuuliza naomba nifahamu hapa
Anakusanya taarifa kutoka vyanzo mbalimbali kumbuka swali lako wewe siyo wakwanza kuuliza hivyo katika muda wa sekunde anakuwa kaishazipata anakutumia
 
ila jamani huwa anawezaje kujibu majinu ambayo unamuuliza naomba nifahamu hapa
LLM kama chatgpt inafanya KAZI Kwa kupredict neno linalofuata kulingana na input ambayo ww umeipa na LLM zote zinatumia muundo inaitwa attention mechanism(transformer) ulibuniwa na Google na kuchapishwa mwaka 2017.

Kwa hiyo inatumia probability kutambua mahusiano baina ya maneno.

Ili iweze kufanya hivyo, LLM inabidi ikusanye data toka kwenye vyanzo vingi, kama chatgpt ilikusanya data karibu zote za internet Kwa ajili ya labelling na baadae kutrain(kupata hizo patterns za probability) baadae ya kufanyiwa training ndio model amabazo zina hizo weights inapatikana.

Ukiiliza kitu, hayo maneno yanabadilishwa yanakuwa namba, halafu model inachakata na kisha inaanza kupredict next word Kwa kucompute probabilities kisha inaanza kuzalisha maneno yakiwa kwenye namba baadae inabadilisha yanakuwa maneno ya kawaida.

Ndio maana swali moja unaweza ikawa inaandika maneno tofauti kila ukiiuliza mara Kwa mara
(Haya ni maelezo kidogo kuhusu LLM inavyofanya KAZI)
 
Anakusanya taarifa kutoka vyanzo mbalimbali kumbuka swali lako wewe siyo wakwanza kuuliza hivyo katika muda wa sekunde anakuwa kaishazipata anakutumia
Chatgpt(LLM) haifanyi kazi Kwa muundo huu
 
Ah, got it! If you heard that +1 (800) 242-8478 is a WhatsApp number for me (ChatGPT) — that's not true. I don’t have a phone number or WhatsApp account. Any such claim is likely fake or a scam.

WhatsApp does not support AI like ChatGPT natively through a phone number unless it's a verified business integration or chatbot, and even then, it wouldn't be this number.

If you're looking to use ChatGPT via WhatsApp, I can give you safe, legit options. Want them?
 
Back
Top Bottom