Je wajua? kama Whatsapp yako ina Chat GPT??

Tongo tongo zote kutoa!

Uso umetakataje, Jf ni zaidi ya university mazee, dah!

Shukrani kubwa kugawa maujanja kwa wadau wenzako.

Na ulijuaje?
 
Asante sana mkuu
nimefuata maelekezo na imekubali
 
Yah mi ndio nimekosea sijasoma vizuri, kwa maelezo ya mtoa mada yupo sahihi.

Nilikua naongelea AI yao wenyewe WhatsApp na sio 3rd party.

Soon utaiona kwenye whatsapp yako wamesha anza kuroll, ufanyaji kazi wake ni kama Grok ya twitter.
Meta AI kwenye WhatsApps inatumika baadhi ya nchi km Kenya ni suala muda tu itatumika Global..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…