Ulilichokoza mwenyewe Kwa kuliambia liache ushamba๐๐๐๐Sasa lenyewe linaniambia salam zangu ni za kimaskini ๐คฃ๐คฃ
Asante mkuu Kwa kutujuza liko fasta na straight kuliko hata Braza gugoKama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana Chukua hii No+1 (800) 242-8478 i save katika phone book yako kama Chat GPT,baada ya hapo nenda whatsapp itafute kama Chat GPT utaikuta uliza chochote kwa lugha yoyote na utajibiwa
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana Chukua hii No+1 (800) 242-8478 i save katika phone book yako kama Chat GPT,baada ya hapo nenda whatsapp itafute kama Chat GPT utaikuta uliza chochote kwa lugha yoyote na utajibiwa Asante!
Mbona ilikuwepo muda sana...mimi niliifahamu miaka mitano iliyopitaAlthough uko late, walitangaza hii kitu december 19 mwaka jana, but watu wengi hawakutia attention
Mmmh kwamba na wewe ulikuwa hufahami hii featureNgoja nijaribu
๐๐ Nimecheka mpaka basi, mpaka Chat GPT imejua wewe ni masikiniNi kweli bwana hili hapa sema lina dharau ๐View attachment 3297580
Litakua limesetiwa kwamba likisikia kiswahili linajua moja kwa moja ni masikini ๐๐๐๐ Nimecheka mpaka basi, mpaka Chat GPT imejua wewe ni masikini
Situmii sana Whatsapp ๐๐๐Mimi mzee wa telegramMmmh kwamba na wewe ulikuwa hufahami hii feature
AsantecKiiza mimi ndiyo umenitoa tongotongo, nimesha add hiyo no imekubalikumbe kuna watu walikuwa nayo wakaificha tu, barikiwaKama kichwa cha habari kinavyoeleza nikwamba kama unatumia smartphone basi utakuwa na Watsapp application katika hiyo simu yako, basi na katika hiyo whatsapp ytako kuna akili mnemba (AI) iliyotengenezwa na Chat GPT ili iwe rahisi kwako kuuliza vitu na kujibiwa! Je unaipataje ni Rahisi sana Chukua hii No+1 (800) 242-8478 i save katika phone book yako kama Chat GPT,baada ya hapo nenda whatsapp itafute kama Chat GPT utaikuta uliza chochote kwa lugha yoyote na utajibiwa Asante!
Aiseeee me mwenyewe nimeshangaaa kabisaa nimemuuliza unaishi wapi anasema eti yeye ni program ya computer๐๐Ukiuliza chochote anajibu moja kwa moja bila hofu kabisaa hata kidogo๐๐๐๐Ni kama unavyotumia google translate. Ila lenyewe linamwaga madini kishenzi, yaani linakuingiza darasani kabisa bila ada.
Kwa Iphone haifanyi kaziNi kweli bwana hili hapa sema lina dharau ๐View attachment 3297580
Alikukopa nini?๐๐ Nimecheka mpaka basi, mpaka Chat GPT imejua wewe ni masikini