Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kibu Denis kwenye ligi kuu ana zaidi ya siku 400 tangu afunge goli lake la mwisho, goli la mwisho Kibu alifunga tarehe 5/11/2023, ambapo aliwafunga Yanga kwenye yale matokeo ya goli 5-1, baada ya pale Kibu Denis hajafunga tena goli ligi kuu. Hivyo hiyo ilikuwa ni 2023 na hii leo tupo 2025 bila goli lolote ligi kuu