Je wajua? Kibu Denis amefikisha siku ya 400 bila kufunga goli kwenye Ligi tangu 2023

Je wajua? Kibu Denis amefikisha siku ya 400 bila kufunga goli kwenye Ligi tangu 2023

Kibu Denis kwenye ligi kuu ana zaidi ya siku 400 tangu afunge goli lake la mwisho, goli la mwisho Kibu alifunga tarehe 5/11/2023, ambapo aliwafunga Yanga kwenye yale matokeo ya goli 5-1, baada ya pale Kibu Denis hajafunga tena goli ligi kuu. Hivyo hiyo ilikuwa ni 2023 na hii leo tupo 2025 bila goli lolote ligi kuu

Hizi takwimu zinamhusu kabisa Mwasibu OKW BOBAN SUNZU.
 
Yanga alicheza fainali ya wamama na mkatengeneza documentary ya umama, mkawapokea wachezaji wametoka kucheza kombe la wamama na mkaanda sherehe ya kunywa supu jangwani kwakusheherekea mecheza vizuri mechi za wamama[emoji3][emoji3][emoji3]
Yote haya utopolo umesahau [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mgechukua na kombe ndiyo mngekuwa wamama kabisa na mngekuwa na K
Kipindi kile kulikuwa na stiff competition

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kibu Denis kwenye ligi kuu ana zaidi ya siku 400 tangu afunge goli lake la mwisho, goli la mwisho Kibu alifunga tarehe 5/11/2023, ambapo aliwafunga Yanga kwenye yale matokeo ya goli 5-1, baada ya pale Kibu Denis hajafunga tena goli ligi kuu. Hivyo hiyo ilikuwa ni 2023 na hii leo tupo 2025 bila goli lolote ligi kuu

Happy 400th day Kibu D Kibu Denga Kibu Denis Mkongo Wa Kitanzania....
 
Umenifanya nimecheka sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ligi dhaifu nini?[emoji3][emoji3][emoji3]Hongera kuishia makundi ya Champion League
Ukiwa na points 4 CAF confederation sawa na points 12 za CAF champions league

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom