Je wajua? Kibu Denis amefikisha siku ya 400 bila kufunga goli kwenye Ligi tangu 2023

Huyu nae akili zake ni kama yule shabiki yao huko nyuma mwiko anaejiita shetani wa Yanga...
 
Kibu ana kismati tu akitokea kocha akapata combination nzuri kile mbele kibu tutamsahau. Ananikumbusha jamaa mmoja hivi anaitwa Tomas Ulimwemgu huyu jamaa tangu mara ya kwanza anaitwa taifa staz nilikua sielewi anachocheza uwanjani lakini ilikua ni lazima aitwe sikimbuki ni kocha gani alikata iyo chain ya mkumbo wa kimwita. Mpaka leo watu tushamsahau.
 
Kwamba jamaa anatembelea upepo[emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kombe la wamama/shirikisho

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yanga alicheza fainali ya wamama na mkatengeneza documentary ya umama, mkawapokea wachezaji wametoka kucheza kombe la wamama na mkaanda sherehe ya kunywa supu jangwani kwakusheherekea mecheza vizuri mechi za wamama😀😀😀
Yote haya utopolo umesahau 😀😀😀😀
Mgechukua na kombe ndiyo mngekuwa wamama kabisa na mngekuwa na K
 
Back
Top Bottom