Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
Utopolo yupo nafasi ya ngapi kwenye ligi dhaifu ya bongo?
Nilimskia kocha wa uto akisema ligi ni dhaifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo yupo nafasi ya ngapi kwenye ligi dhaifu ya bongo?
TuliaHuyu nae akili zake ni kama yule shabiki yao huko nyuma mwiko anaejiita shetani wa Yanga...
[emoji23][emoji23]Wako nafas ya kwanza ila soon watashuka kwenye mashindano ya kimataifa wako robo fainali ila soon watatoka
Alisema ligi ya TZ sio Bora kuizidi ya Algeria......but sio dhaifu ..as it copied to makoloNieleweshe mkuu
Unamaanisha NiniMTU KULA SAMAKI SIYO HABARI, HABARI INGEKUA MTU KULIWA NA SAMAKI
KIBU KUTOKUFUNGA MAGOLI SIYO HABARI, HABARI INGEKUA KUBU KUFUNGA MAGOLI NDIYO INGEKUA HABARI
UZI UFUNGWE
Hapana mkuu... tatizo y kibu hafungiStaili za Utopwinyo kujifariji zipo nyingi sana. Ila hii ya Labani og Inachekesha balaa.
Supu mtakunywa tu, tatizo siyo Simba ni MC Alger [emoji3]
Tofauti ni point 1.......Yanga ana goli nyingi zaidUtopolo yupo nafasi ya ngapi kwenye ligi dhaifu ya bongo?
Nilimskia kocha wa uto akisema ligi ni dhaifu.
Mtu na nusu yuleHuyu nae akili zake ni kama yule shabiki yao huko nyuma mwiko anaejiita shetani wa Yanga...
Nimeuliza wako nafasi ya ngapi punguza kujieleza jibu nafasi ni ya ngapi tuWako nafas ya kwanza ila soon watashuka kwenye mashindano ya kimataifa wako robo fainali ila soon watatoka
Ya kwanzaNimeuliza wako nafasi ya ngapi punguza kujieleza jibu nafasi ni ya ngapi tu
Kwamba jamaa anatembelea upepo[emoji23]Kibu ana kismati tu akitokea kocha akapata combination nzuri kile mbele kibu tutamsahau. Ananikumbusha jamaa mmoja hivi anaitwa Tomas Ulimwemgu huyu jamaa tangu mara ya kwanza anaitwa taifa staz nilikua sielewi anachocheza uwanjani lakini ilikua ni lazima aitwe sikimbuki ni kocha gani alikata iyo chain ya mkumbo wa kimwita. Mpaka leo watu tushamsahau.
Hujaulizwa yote hayo base na ulichoambiwaSimba iko nafasi ya ngapi kwenye ligi? Na vipi mashindano ya kimataifa wapo au?*
Yanga alicheza fainali ya wamama na mkatengeneza documentary ya umama, mkawapokea wachezaji wametoka kucheza kombe la wamama na mkaanda sherehe ya kunywa supu jangwani kwakusheherekea mecheza vizuri mechi za wamama😀😀😀