Je wajua? Kibu Denis amefikisha siku ya 400 bila kufunga goli kwenye Ligi tangu 2023

Je wajua? Kibu Denis amefikisha siku ya 400 bila kufunga goli kwenye Ligi tangu 2023

Naye akapita katikati yao akaenda zake
images (4).jpeg
 
Kibu Denis kwenye ligi kuu ana zaidi ya siku 400 tangu afunge goli lake la mwisho, goli la mwisho Kibu alifunga tarehe 5/11/2023, ambapo aliwafunga Yanga kwenye yale matokeo ya goli 5-1, baada ya pale Kibu Denis hajafunga tena goli ligi kuu. Hivyo hiyo ilikuwa ni 2023 na hii leo tupo 2025 bila goli lolote ligi kuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Atafunga tarehe 8
save hii comment
 
MTU KULA SAMAKI SIYO HABARI, HABARI INGEKUA MTU KULIWA NA SAMAKI

KIBU KUTOKUFUNGA MAGOLI SIYO HABARI, HABARI INGEKUA KUBU KUFUNGA MAGOLI NDIYO INGEKUA HABARI

UZI UFUNGWE
 
Umekubaliana nami uwezo wake ni mkubwa katika kusaidia timu hafungi ligu kuu simba inaongoza kutokana na pasi zake simba imeongoza group stage kutokana na magoli yake anayofunga...fungua uzi kwanini timu za tanzania zinatolewa mapema mashindano ya caf!
Zinatoka mapema sababu ni Azam na UROPOLO na huwezi kumkuta SIMBA WA KIMATAIFA anatoka kwenye group stage hiyo a ni NYUMA MWIKO.
 
Back
Top Bottom