Je wajua? Kibu Denis amefikisha siku ya 400 bila kufunga goli kwenye Ligi tangu 2023

Atafunga tarehe 8
save hii comment
 
Atafunga tarehe 8
save hii comment
 
Simba iko nafasi ya ngapi kwenye ligi? Na vipi mashindano ya kimataifa wapo au?*
Wako nafas ya kwanza ila soon watashuka kwenye mashindano ya kimataifa wako robo fainali ila soon watatoka
 
MTU KULA SAMAKI SIYO HABARI, HABARI INGEKUA MTU KULIWA NA SAMAKI

KIBU KUTOKUFUNGA MAGOLI SIYO HABARI, HABARI INGEKUA KUBU KUFUNGA MAGOLI NDIYO INGEKUA HABARI

UZI UFUNGWE
 
Zinatoka mapema sababu ni Azam na UROPOLO na huwezi kumkuta SIMBA WA KIMATAIFA anatoka kwenye group stage hiyo a ni NYUMA MWIKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…