Je, wajua kuna bata wa mayai na nyama pia?

Je, wajua kuna bata wa mayai na nyama pia?

Zipo zinapatikana kwa wingi ni ww kujiandaa juu ya ufugaji wako maana uangalizi wa chakula mazingira ya bwawa la kuogelea ni muhimu sana kwao, ulaji wao ni kama wa bukini wanapenda majani na matunda mbali mbali kuliko pumba.
Hao Bata wa Khaki Campbell wanapatikana wapi hapa Tanzania? Mimi niko Arusha
 
Aiseee huwezi wapata Tanzania wale Orijino waliopo wamechakachuliwa wamemixiwa hadi rangi imepotea, Hawa unaweza wapata South Africa au nje ya Africa,
Hao Bata wa Khaki Campbell wanapatikana wapi hapa Tanzania? Mimi niko Arusha
 
Wanapatikana
Aiseee huwezi wapata Tanzania wale Orijino waliopo wamechakachuliwa wamemixiwa hadi rangi imepotea, Hawa unaweza wapata South Africa au nje ya Afr
Aiseee huwezi wapata Tanzania wale Orijino waliopo wamechakachuliwa wamemixiwa hadi rangi imepotea, Hawa unaweza wapata South Africa au nje ya Africa,
Wanapatikana ndugu usikate tamaa, wakati wakuanza kufuga wapashwa kutumia muda wakufanya tafiti kwanza kabla ya kununuwa hizo mbegu uzitakazo, mimi ninao na wanataga vyema kabisa.
 
Nani ano pure? Nisikilize wale waliopo wamechanganywa changanywa mara na pekin mara na marad, hawana quality, nazungumzia quality na sio tu jina bata bali quality,

Sisi mara nyingi huwa tunapenda sana kukwepa quality
Wanapatikana
 
Kwa sisi wafuasi wa maandiko matakatifu hatuwezi kuwafuga wala kuwala maana ni miongoni mwa aina ya ndege waliotajwa kuwa najisi
 
Waliopo quality ni zero na walicha chakachuliwa sana, ukitaja Bata ni kuagiza nje kabisa unapata F1 asa hawafai kabisa
Mkuu ni nchi gani wanaoatikana kirahisi hao bata wa mayai uliowasema?mke wangu anapenda sana ufugaji wa bata
 
Alieanazisha huu uzi, atusaidie kufahmu wanapopatikan hawa Bata la sivyo uzi unakosa mashiko. Watu wamevutiwa an uzi lakini ukiuliza aina hiyo wa Bata wanapatikana wapi, hamna jibu murua.
 
Mkuu ulie leta bandiko unaulizwa,wapi wanapatikana bata hao hapa bongoland umeuchuna,au mkuu umetoa huko kwenye link umekuja turusha roho ?Tusaidie majibu tafadhari.
 
Nisha jibu labda uagize nje ya nchi, Bongo sio
Mkuu ulie leta bandiko unaulizwa,wapi wanapatikana bata hao hapa bongoland umeuchuna,au mkuu umetoa huko kwenye link umekuja turusha roho ?Tusaidie majibu tafadhari.
 
Tupe na platform (website husika) ya kuagiza kwa mtu anae taka kuagiza, maana mimi binafsi nilikuwa sijui kama inawezekana kuagiza mnyama au ndege nje ya nchi. Tafadhali tusaidie maana naamini tupo tulio serious na hii kitu
 
Taratibu Mkuu
Haya Mambo, Yasijekututoa Jasho Kama Mr Kuku
 
Mkuu ulie leta bandiko unaulizwa,wapi wanapatikana bata hao hapa bongoland umeuchuna,au mkuu umetoa huko kwenye link umekuja turusha roho ?Tusaidie majibu tafadhari.
Anza Kujiongeza Taratibu!!
Mambo Siyo Shwari Kama Unavyofikiria
Atakuja Kukupa Uelekeo Hapa Tanzania Unawapata Wapi?
 
Back
Top Bottom