Je, wajua kuna bata wa mayai na nyama pia?

Je, wajua kuna bata wa mayai na nyama pia?

Moja kati ya ufugaji mzuri ikiwa mtu atapata mbegu ambazo hazijachakachuliwa kwa upande wa bata wa mayai, maana kama wakichakachuliwa kuna uwezekano wa kutokufikia hata nusu ya utagaji wao kwa mwaka.
Sasa kwa Bongo tutakwepa kweli hilo?.
 
Aiseee huwezi wapata Tanzania wale Orijino waliopo wamechakachuliwa wamemixiwa hadi rangi imepotea, Hawa unaweza wapata South Africa au nje ya Africa,
Ww unaye sema wame mixiwa utuambie wame mixiwa na aina gan
 
Anza Kujiongeza Taratibu!!
Mambo Siyo Shwari Kama Unavyofikiria
Atakuja Kukupa Uelekeo Hapa Tanzania Unawapata Wapi?
Acha kujisumbua kuagiza nnje wakat tanzania tuna fuga , utaka uagize nnje ugundue nn ukiagiza labda uagize specie ambayo haipo ndo inaweza ikakulipa lkn zilizopo utaangukia pua
 
Kuna kuku wa mayai na nyama
Kuna bata wa mayai na nyama

Swali, je! Ukila el kuku/el bata wa mayai kuna madhara yoyote katika mwili kamanda?
 
Waliopo quality ni zero na walicha chakachuliwa sana, ukitaja Bata ni kuagiza nje kabisa unapata F1 asa hawafai kabisa
Hapo kwny swala la F1 sijui F2 kwenye bata hakuna maana hawa bata wapo toka enziii hzioo sema tu bongo ndo hawakuwepo na ukiwalisha vzri utakagaji wao uko vile vile , labda changamoto useme labda aina moja ukichanganya na nyngne
 
Hao Bata wa Khaki Campbell wanapatikana wapi hapa Tanzania? Mimi niko Arusha
Call 0746696878
Nipo dar es Salaam
Nakutumia Arusha na wanafika bila shida
Unaweza nifatilia Instagram ILUNDA farm
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Kuna kuku wa mayai na nyama
Kuna bata wa mayai na nyama

Swali, je! Ukila el kuku/el bata wa mayai kuna madhara yoyote katika mwili kamanda?
Wanaliwa ujawahi kutana na kuku wa mayai walio maliza Muda wakutaga wanauzwa sokon wanarangi ya brown Mara nyng
 
Call 0746696878
Nipo dar es Salaam
Nakutumia Arusha na wanafika bila shida
Unaweza nifatilia Instagram ILUNDA farm
Umeulizwa unawaza kwa fedha kiasi gani upo kimya.
Msiwewe mnaleta utoto kwenye mambo serious.
Watu wanataka kuwekeza
Kukaa kimya kwa mambo yanayokushinda ni busara kubwa.
 
Umeulizwa unawaza kwa fedha kiasi gani upo kimya.
Msiwewe mnaleta utoto kwenye mambo serious.
Watu wanataka kuwekeza
Kukaa kimya kwa mambo yanayokushinda ni busara kubwa.
Boss sio Muda wote mtu uko online ndo maana nikaacha na namba ya simu
 
Back
Top Bottom