Je, wajua kuna bata wa mayai na nyama pia?

Je, wajua kuna bata wa mayai na nyama pia?

CHASHA FARMING nakusalimia! Vipi mkuu wewe unawahitaji? Mimi binafsi nahitaji wa mayai Khaki Campbell, na wa nyama Pekin. Naona wahitaji wapo, mnaonaje tukijiunganisha tukaagiza nje kwa pamoja? Mimi nipo Arusha. Tukiwa wengi nadhani cost inaweza kuwa chini hasa ya usafiri, vibali na related costs.
 

Biashara Humu Ngumu Sana

Zimejaa Full Ujanja

 

Kuweni Makini Na Member Anayejiita devinyo1987

Kuhusu Hao Bata Wa Mayai

Kasema Yupo Iringa Jirani Na Nmb Chap Akatanua Kiwanja Yupo Makete
Chap Simu Hapokei
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Back
Top Bottom