CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #21
Kuharishiwa ovyo ila utakula mayai mwaka.mzima
Wanatembea na pampasBata wa Kisasa hawana hio mambo mkuu
Hao Bata wa Khaki Campbell wanapatikana wapi hapa Tanzania? Mimi niko ArushaZipo zinapatikana kwa wingi ni ww kujiandaa juu ya ufugaji wako maana uangalizi wa chakula mazingira ya bwawa la kuogelea ni muhimu sana kwao, ulaji wao ni kama wa bukini wanapenda majani na matunda mbali mbali kuliko pumba.
Wanatembea na pampas
Hao Bata wa Khaki Campbell wanapatikana wapi hapa Tanzania? Mimi niko Arusha
Aiseee huwezi wapata Tanzania wale Orijino waliopo wamechakachuliwa wamemixiwa hadi rangi imepotea, Hawa unaweza wapata South Africa au nje ya Afr
Wanapatikana ndugu usikate tamaa, wakati wakuanza kufuga wapashwa kutumia muda wakufanya tafiti kwanza kabla ya kununuwa hizo mbegu uzitakazo, mimi ninao na wanataga vyema kabisa.Aiseee huwezi wapata Tanzania wale Orijino waliopo wamechakachuliwa wamemixiwa hadi rangi imepotea, Hawa unaweza wapata South Africa au nje ya Africa,
Wanapatikana
Mkuu ni nchi gani wanaoatikana kirahisi hao bata wa mayai uliowasema?mke wangu anapenda sana ufugaji wa bataWaliopo quality ni zero na walicha chakachuliwa sana, ukitaja Bata ni kuagiza nje kabisa unapata F1 asa hawafai kabisa
Duh!!!!,Amekuwa bata mzinga?Shida ninayoiona wanauzwa bei saba Hao bata
Mmoja 70 000, labda u target ktk supermarkers
Kwa sisi wafuasi wa maandiko matakatifu hatuwezi kuwafuga wala kuwala maana ni miongoni mwa aina ya ndege waliotajwa kuwa najisi
Mkuu ulie leta bandiko unaulizwa,wapi wanapatikana bata hao hapa bongoland umeuchuna,au mkuu umetoa huko kwenye link umekuja turusha roho ?Tusaidie majibu tafadhari.
Taratibu MkuuTupe na platform (website husika) ya kuagiza kwa mtu anae taka kuagiza, maana mimi binafsi nilikuwa sijui kama inawezekana kuagiza mnyama au ndege nje ya nchi. Tafadhali tusaidie maana naamini tupo tulio serious na hii kitu
Anza Kujiongeza Taratibu!!Mkuu ulie leta bandiko unaulizwa,wapi wanapatikana bata hao hapa bongoland umeuchuna,au mkuu umetoa huko kwenye link umekuja turusha roho ?Tusaidie majibu tafadhari.