Sasa kwa Bongo tutakwepa kweli hilo?.Moja kati ya ufugaji mzuri ikiwa mtu atapata mbegu ambazo hazijachakachuliwa kwa upande wa bata wa mayai, maana kama wakichakachuliwa kuna uwezekano wa kutokufikia hata nusu ya utagaji wao kwa mwaka.
Kuoka mkuu...au kutengeneza Kama Mikate.Backing ndo mchezo gani ?
Fafanua kwa lugha ya Kishwahili
Ww unaye sema wame mixiwa utuambie wame mixiwa na aina ganAiseee huwezi wapata Tanzania wale Orijino waliopo wamechakachuliwa wamemixiwa hadi rangi imepotea, Hawa unaweza wapata South Africa au nje ya Africa,
Acha kujisumbua kuagiza nnje wakat tanzania tuna fuga , utaka uagize nnje ugundue nn ukiagiza labda uagize specie ambayo haipo ndo inaweza ikakulipa lkn zilizopo utaangukia puaAnza Kujiongeza Taratibu!!
Mambo Siyo Shwari Kama Unavyofikiria
Atakuja Kukupa Uelekeo Hapa Tanzania Unawapata Wapi?
Ngumu KukwepaSasa kwa Bongo tutakwepa kweli hilo?.
Hapo kwny swala la F1 sijui F2 kwenye bata hakuna maana hawa bata wapo toka enziii hzioo sema tu bongo ndo hawakuwepo na ukiwalisha vzri utakagaji wao uko vile vile , labda changamoto useme labda aina moja ukichanganya na nyngneWaliopo quality ni zero na walicha chakachuliwa sana, ukitaja Bata ni kuagiza nje kabisa unapata F1 asa hawafai kabisa
Call 0746696878Hao Bata wa Khaki Campbell wanapatikana wapi hapa Tanzania? Mimi niko Arusha
Wanaliwa ujawahi kutana na kuku wa mayai walio maliza Muda wakutaga wanauzwa sokon wanarangi ya brown Mara nyngKuna kuku wa mayai na nyama
Kuna bata wa mayai na nyama
Swali, je! Ukila el kuku/el bata wa mayai kuna madhara yoyote katika mwili kamanda?
Unauza Tshs Ngapi?Call 0746696878
Nipo dar es Salaam
Nakutumia Arusha na wanafika bila shida
Unaweza nifatilia Instagram ILUNDA farm
Umeulizwa unawaza kwa fedha kiasi gani upo kimya.Call 0746696878
Nipo dar es Salaam
Nakutumia Arusha na wanafika bila shida
Unaweza nifatilia Instagram ILUNDA farm
Inategemea na umri unao hitajUnauza Tshs Ngapi?
Taja Umri Na BeiInategemea na umri unao hitaj
Ila bei inaanzia 10000 kwa kifaranga mpk 60000 kwa bata mkubwa umr wa kutaga
Boss sio Muda wote mtu uko online ndo maana nikaacha na namba ya simuUmeulizwa unawaza kwa fedha kiasi gani upo kimya.
Msiwewe mnaleta utoto kwenye mambo serious.
Watu wanataka kuwekeza
Kukaa kimya kwa mambo yanayokushinda ni busara kubwa.
Kuna watu watabisha ila ulichosema ni halisi na kweliWaliopo quality ni zero na walicha chakachuliwa sana, ukitaja Bata ni kuagiza nje kabisa unapata F1 asa hawafai kabisa
Una jua maana ya F1 kwanzaKuna watu watabisha ila ulichosema ni halisi na kweli