Je, wajua kuna Coincidence na Coincidence 'coincidencesisha?' Watch this, is this just a coincidence or ime-'coincidencesishwa'?

Duh at his age bado mwamba anapiga papuchi na kuijaza dunia.

Ngoja niendelee tu, mie 35 naona inatosha. Hii kweli sio haki, nimekuwa namkatalia shemej enu kuwa 4 inatosha.

Sasa acha niuwashe moto. [emoji23][emoji23][emoji28]
 
Mkuu baada ya lile swali nilikuona shujaa
Jiwe alipoteana kweli
 
Bro Paskali nakupata
Kucoincidensisha ni kwamba huyo piijey alipatikana kwa operation baada ya kuweka appointment na dk sio?
Pili hilo swali ndio lilikufanya ukose teuzi na nusura kweli ufe njaa kipindi cha JPM maana kampuni yako ilinyimwa tenda
Maneno ya JPM kuwa wewe ni njaa nusura yatimie
 
Mama yake mzazi na baba yake walikuwa tiss mama yake aliwahi kupewa nishani na Nyerere!
Sasa jamaa mbona dizain kama ana akili kama za yule mtoto wa Simbachawene wa siku ile pale. Au ndo kusema watoto wa watu wa TISS ndo wanakuaga hivyo?

Le mutuz hivi huyu jamaa nae yupo kweli?

Yani hii mitoto ya wazee wa TISS miakili yao sijui inakuagaje yani....

Jana nilikua nacheck clouds tv nikamuona Makongoro Nyerere..anauliza...."nitoe miwani? au hamtaki?...nitatoa?..miwani OYEEE?..hahahah...yani miakili yao kama ya sayari sijui ya wapi vile aisee...
 
Mkuu Arovera , asante. Sio tuu nilipitia JKT, but from JKT nilienda straight JWTZ kabla ya kutua RTD.

It's true mimi ni Grand of 6!. My 3 eldest daughter and two sons, each ana watoto 2.

P
 
Anha..kumbe! Kwahiyo jamaa na yeye ni TISS au sio?
Mkuu MzeeKipusa , japo ni kweli mimi ni mtoto wa wastaafu wa TISS kwa both parents, baba na mama, na ni kweli TISS hupeleka watoto wao kuwa ma TISS ila sio kila TISS, wanapeleka watoto wao TISS!.

Sisi tumezaliwa 8, watano kati yetu waliajiriwa serikalini, halafu sisi 3 tuko private sector. We can't all 8 be TISS, ila nimezaliwa na natural intelligence of intelligent na from time to time nawasaidia Idara kwa kuwapa tip za security threats kama hizi https://www.jamiiforums.com/threads...lionya-kabla-je-wanapanga-kutu-libya.1689279/ na hizi https://www.jamiiforums.com/threads...kani-watanzania-wazalendo-tutakubali.1522727/
It's very unfortunately TISS wetu couldn't protect him!. Jamaa wakala kichwa!.

Ila pia TISS wakiboronga, tunawakosoa publically kitu ambacho mtu kama ni TISS, hawezi https://www.jamiiforums.com/threads...wachunguzwe-wakithibitika-wafumuliwe.1235284/
P
 
1960s! Unawezaje kumpongeza mtu asiyejua mwaka aliozaliwa, 1960s inaupana wa miaka kumi(10), kama hataki watu wajue mwaka aliozaliwa labda kwa sababu za kishirikina basi hakuwa na sababu ya kutujulisha ili sisi tuanze kupiga ramli kujua mwaka aliozaliwa.
 
Swali lile la Paskali linabaki kua swali bora kuliko maswali yote waliyowahi kuulizwa Marais Walioko madarakani kwa nchi yetu.

Lakini nyepesi pia zilisema kama sio lile swali huenda Paskali angetwaa u DC kwa maana mkulu alikua anamkubali kiaina.

Just kidding, happy birthday Pascal Snr and Jnr.
 
Mzee Kipusa OYEE!? "in Makongoro voice"!!
 
Sasa jamaa mbona dizain kama ana akili kama za yule mtoto wa Simbachawene wa siku ile pale. Au ndo kusema watoto wa watu wa TISS ndo wanakuaga hivyo?
No akili ni kila mtu ana zake, ila ukizaliwa kwa wazazi wote wawili ni bright una chances za brightness kuwa bright. Sisi tumezaliwa 8 na wote tumepasi na kusoma hadi vyuo vikuu.
Ila pia wazazi wanaweza kuwa bright watoto wakawa opposite na kuna watoto wa total uneducated parents ni ma genius!. Mimi wazazi wangu kuwa TISS wamenisaidia kuwa na intelligence ya kuhoji, hiyo ni tool muhimu sana kwa fani yangu ya uandishi wa habari.
Yani hii mitoto ya wazee wa TISS miakili yao sijui inakuagaje yani....
This is not fair, wako wazee wengi tuu wa TISS watoto wao wana akili mzuri!. Mtoto kumuita kitoto sounds kama una chuki fulani which is not fair!
Jana nilikua nacheck clouds tv nikamuona Makongoro Nyerere..anauliza...."nitoe miwani? au hamtaki?...nitatoa?..miwani OYEEE?..hahahah...yani miakili yao kama ya sayari sijui ya wapi vile aisee...
Kuna watoto wa wakubwa ni issues na kuna watoto wa wakubwa ni poa. Don't generalize all!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…