Wanabodi
Anzia hapa
Mkuu
Freed Freed , kwanza asante kwa bandiko hili.
Wanabodi, leo ni siku yangu ya kuzaliwa, yaani Happy Birthday yangu, lakini pia leo ni birthday ya last born wangu ambae nae ameitwa Pasco jnr, au PiiJei, yeye alizaliwa tarehe kama ya leo last year na niliposti humu
https://www.jamiiforums.com/threads...inevyo-ni-kubebesha-watu-mizigo-yako.1972184/
Hivyo leo ni
Happy Birthday to Pasco Mayalla Snr
Happy Birthday to Pasco Mayalla Jnr ambapo wengi mtadhani ni just a coincidence tuu!.
Kuna kitu kiitwacho coincidence na coincidences nyingine ni just an amazing coincidence. Je wajua kuna coincidences za aina mbili?. Coincidence ya kwanza ni ile coincidence ya just a coincidence na coincidence ya aina ya pili ni coincidence ya kui coincidencesisha?.
Kuna watu wanaamini coincidence inajitokea tuu yenyewe, as it's just a coincidence, imetokea tuu, lakini naomba niwahakikishie sio kila coincidence inajitokea tuu yenyewe, some coincidences, ni mtu unaweza kuzi coincidencesisha kwa kutumia will power through manifestation kwa kutumia kauli umba!.
Kauli umba ni kuitumia wish au kauli kukuumbia jambo lako lolote na hizi hoja za coincidence zinawezeshwa na mahasabu ya probability ya kitu kinachoitwa yumkini ya kuyumkinika.
Mimi ni mtu wa kauli umba, yaani kuna vitu una vi wish halafu vinatokea. Unawe kutembelea uzi huu ukaangalia baadhi ya kauli umba zangu
https://www.jamiiforums.com/threads...na-kauli-umba-ambazo-huumba-shuhudia.2013308/
NB. Sio lazima kila utakachokiumba kwa kauli umba ni lazima kitokee, kauli umba nyingine huwa zina goma!. Mfano ile 2014 nilitoa kauli umba hii
https://www.jamiiforums.com/threads...ccm-2015-could-be-john-pombe-magufuli.707165/
Halafu 2015 nikabadili mawazo na kutoa kauli umba hii
https://www.jamiiforums.com/threads...ulu-kiongozi-tunayemtaka-mdomo-huumba.951114/ ile kauli umba ya 2014 ndio ilitiki, ile ya 2015 iligoma!.
Nguvu hizi na uwezo wa kusema kitu na kikatokea ni kila mtu anao, ila kuna wengi hawajitambui kuwa wanazo nguvu hizi
Wanabodi, Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers". "Powers" ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote! . God is Power, yaani Mungu ni nguvu, hakuna kitu...
www.jamiiforums.com
Saa jee hii Birthday ya Baba ku coinside na Birthday ya last born is is just a coincidence, an amazing coincidence or just a coincidence ya ku coincidencesisha?.
Happy Birthday kwa kila Pasco, Paskali, Pascal, Paschal, Pascoe, Pasquale, Paskalina, Paskazia na Ester waliozaliwa siku ya Pasaka.
Kila unaposheherekea sikukuu ya Pasaka ujue pia unasheherekea Happy Birthday ya kina Paskali!.
Happy Birthday me
Happy Birthday PiiJei (Pasco Jnr)
Nawatakia Pasaka Njema.
Pasakali
Baadhi ya Salaam za pongezi
Leo ni birthday ya ndugu na si rafiki. Pascal Mayalla. Pascal ndiye mwamba pekee aliyemuuliza Marehemu Rais Magufuli bila kumuogopa swali ambalo ni 1millioni dollar question.
Bila woga na kwa ushujaa wa hali ya juu alimuuliza “Mh Rais umepata wapi nguvu ya kuzuia mikutano ya kisiasa kinyume na katiba ambayo inaruhusu, hiyo ruhusa umeipata wapi?”
JPM alishindwa kujibu zaidi ya kumwambia jina Mayalla kwetu maana yake ni njaa.
Moonlight inamtakia kila la kheri, umri mrefu na afya tele mwamba Huyu wa habari hapa nchini. Happy birthday Pascal
Kutoka kwa Abubakar Liongo
Moonlight Media