Je, wajua kuna Coincidence na Coincidence 'coincidencesisha?' Watch this, is this just a coincidence or ime-'coincidencesishwa'?

Mkuu Window7 , ni vile tuu watu humu hatujuani in reality, hivyo watu mnaouona u DC kama it's a big deal!. Amini usiamini, kuna watu kibao kama mimi ambao tunajifanyia tuu mambo yetu huo uteuzi wa ubwete hatutaki hata kuusikia!.

Kitu muhimu ni uzalendo kwa taifa lako, mimi ni mzalendo na hivi nilivyo kama mwandishi, nalisaidia sana taifa kuliko hata kama ningekuwa DC, na kwa taarifa yako, kwa shughuli zangu ninazofanya nachangia mishahara ya ma DC 3!.
P
 
Kuandika 1960s hakumaanishi siujui mwaka niliozaliwa, naujua na kuandika kwenye every official documents, ila vitu vingine vinalindwa na the right to privacy. Birthday ya mtu ni inasheherekewa kwa siku na mwezi na sio lazima mwaka!.
Pasaka Njema.
P
 
Hbd mkuu Mayala. Kumbe umezaliwa mwaka 1960! Aisee samahani kama kuna sehem niliwahi kukukosea heshima, hizi Id fake zinatuchanganya mda mwingine.
 
Hbd mkuu Mayala. Kumbe umezaliwa mwaka 1960! Aisee samahani kama kuna sehem niliwahi kukukosea heshima, hizi Id fake zinatuchanganya mda mwingine.
Sio mwaka 1960 ni 1960s
Ila kila mtu anastahili heshima.
Mimi ni baba wa watoto 9 wa ndani na nina wajukuu 6!.
P
 
Sio mwaka 1960 ni 1960s
Ila kila mtu anastahili heshima.
Mimi ni baba wa watoto 9 wa ndani na nina wajukuu 6!.
P
Mkuu Mayalla nikiwa Mkubwa nataka kua Kama wwe, Watoto 10 na Wajukuu 10,nitafurahi sana killa nikiwaangalia wanangu na Wajukuu zangu,alafu wote nitataka tuishi kwenye Nyumba moja kubwa sana ya kututosha wote Kama familia za kihindi zinavyoishi!!
 
Happy birthday mkuu Pascal Mayalla

Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na nchi akusimamie uyaone mengine mengi uliyotatbiri kama Daniel WA kwenye Bible. Amen
 
Heri ya siku ya kuzaliwa mkuu, mwenyezi Mungu akujaalie miaka mingi zaidi upate nafasi ya kufurahia maisha na Pascal Jr.
 
Mkuu Kweli last born wako amesaliwa mwaka Jana ukiwa na miaka 62
Je mm Ni Nani niwai kuzaa zaa watot wakt role models wetu senior analyst last born wake Ni baada ya Bab ake kufikisha 62 yr old

Honger Sana mwenyekit wa bodi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuandika 1960s hakumaanishi siujui mwaka niliozaliwa, naujua na kuandika kwenye every official documents, ila vitu vingine vinalindwa na the right to privacy. Birthday ya mtu ni inasheherekewa kwa siku na mwezi na sio lazima mwaka!.
Pasaka Njema.
P
Unasherehekea birthday yenye siku na mwezi bila mwaka! Bora usherehekee mwaka ambao huweka umri wako, kama hautaki tujue mwaka kama nilivyodhani hapo juu basi ni bora usherehekee kimyakimya with your lovely dear bottle.
 
"08/04/1960s".
08 Known date. 04 Known Month. 60s Unknown Years!
Hongera zenu japo 60 mpaka 69 ni miaka mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…