Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.

Let's wait and see kama wahafidhina kwenye chama chake hawatamvuta shati kama wakivyomvuta JK.
 
Dk Kigwangala akiwa waziri wa utalii aliweza kupandisha idadi ya watalii kutoka laki nane kwa mwaka mpaka millioni 1.5 kwa mwaka, vigogo kadhaa walifika kutalii nchi yetu ,mfano Barack Obama na familia yake ,David Beckham walitalii mbuga ya serengeti mwaka 2018 bila ya royal tour wala nini. Ni mpaka baada ya kuibuka kwa ugonjwa wa corona mwaka 2019 nchi nyingi zikaweka lockdown na kufungia raia wake na mipaka yake ndipo watalii wakapungua Tanzania.
Sasa imeibuka tabia ya kutaka kuhalalisha ulaji wa billioni 7 za walipa kodi wa Tanzania kwenye filamu ya royal tour kwa kuhusisha kila mtalii anayekuja Tanzania eti ameletwa na hiyo filamu!!
Sasa tuambieni hii filamu ya royal tour imewawezesha kupokea watalii wangapi kwa mwezi na hapo kabla ya lockdown za Corona mlikuwa mnapokea watalii wangapi kwa mwezi? Ili tuweze kupima tija ya hii filamu yenu.
Dk Kigwangala jitokeze uweke rekodi sawa vinginevyo unajengewa picha kwamba hamna chochote ulichofanya kwenye wizara ya utalii.
Royal Tour ime boost sector ya utalii ila sio kusema kwamba no royal tour no part
 
Unaongelea mgombea binafsi kutoruhusiwa?.... Mahakam ya Tz ilikataa hili.
Mkuu Proved
  1. Katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977 ilitoa haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
  2. Sheria ya uchaguzi ndio ikaweka shurti la kudhamimiwa na chama cha siasa
  3. Mchungaji Mtikila akafungua kesi mahakama Kuu kupinga sheria hiyo.
  4. Mtikila alishinda kesi kwa Jaji Mwalusanya akatoa hukumu kuwa shurt hilo ni kinyume cha katiba
  5. Serikali ikafanya mambo mawili kwa mpigo kwanza ikakata rufaa ya hukumu ya Jaji Mwalusanya, at the same time, ikapeleka marekebisho ya Katiba kwa hati ya dharura na kukichomekea kipengele hicho ndani ya Katiba yetu!.
  6. Kwenye rufaa serikali ikashindwa.
  7. Mtikila akafungua kesi nyingine kupinga mabadiliko ya Katiba yaliyokichomekea kipengele hicho ndani ya Katiba yetu.
  8. Akashinda kesi, mahakama Kuu ikatamka mabadiliko hayo ya Katiba ni batili.
  9. Serikali ikakata rufaa Mahakama Kuu ya Rufani (full bench) majaji 7. Na ikawaita marafiki wa mahakama, ma amicus curiae 3, kujiuliza kama mahakama ina uwezo wa kutamka kipengele fulani cha katiba ni batili, serikali ikashinda Mahakama Kuu ya Rufani ikatamka kuwa mahakama haiwezi kutamka kifungu fulani cha katiba ni batili. Huku kutakuwa ni kuliingilia Bunge.
  10. Hivyo ndivyo ubatili huu ulivyo chomekewa ndani ya Katiba yetu.
P
 
Dk Kigwangala akiwa waziri wa utalii aliweza kupandisha idadi ya watalii kutoka laki nane kwa mwaka mpaka millioni 1.5 kwa mwaka, vigogo kadhaa walifika kutalii nchi yetu ,mfano Barack Obama na familia yake ,David Beckham walitalii mbuga ya serengeti mwaka 2018 bila ya royal tour wala nini. Ni mpaka baada ya kuibuka kwa ugonjwa wa corona mwaka 2019 nchi nyingi zikaweka lockdown na kufungia raia wake na mipaka yake ndipo watalii wakapungua Tanzania.
Sasa imeibuka tabia ya kutaka kuhalalisha ulaji wa billioni 7 za walipa kodi wa Tanzania kwenye filamu ya royal tour kwa kuhusisha kila mtalii anayekuja Tanzania eti ameletwa na hiyo filamu!!
Sasa tuambieni hii filamu ya royal tour imewawezesha kupokea watalii wangapi kwa mwezi na hapo kabla ya lockdown za Corona mlikuwa mnapokea watalii wangapi kwa mwezi? Ili tuweze kupima tija ya hii filamu yenu.
Dk Kigwangala jitokeze uweke rekodi sawa vinginevyo unajengewa picha kwamba hamna chochote ulichofanya kwenye wizara ya utalii.
Matokeo ya filamu hayapimwi ndani ya muda mfupi, huwa ni mchakato wa muda mrefu.

Ni kama Visit Rwanda ilivyopuuzwa ndani ya muda mfupi lakini leo hii Messi na Neymar wanavaa jezi zenye maandishi hayo, miaka miwili au mitatu tangu maandishi yaanze kusomeka pale Emirates uwanja wa Arsenal.

Ni mchakato wa muda mrefu na wa kiakili utakaokuja kuzaa matunda miaka miwili au mitatu ijayo.
 
Wanabodi,
Karibu Makala yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" Jumapili ya Leo
View attachment 2265455View attachment 2265457
Kama kawaida yangu, kila Jumapili, huibuka na makala zangu za "kwa Maslahi ya Taifa"
Makala hizi huandikwa kwa mtindo wa maswali fikirishi.
Swali la makala ya leo ni "Je wajua kuna fupa fulani la dhulma fulani inayofanywa kwa Watanzania?. Fupo hilo la dhulma hiyo, liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, , tena wote hao ni marais wanaume, wakitegemewa ni majabali, lakini fupa hili liliwashinda!. Rais Samia, japo ni rais Mwanamke, ameisha onyesha kwa kauli na matendo, yeye ni mpenda haki na mtenda haki kuliko hata marais waliomtangulia. Jee Mama Samia ataliweza fupa hili?.

Fupa lenyewe ni haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Katiba yetu ya mwaka 1977, ilitoa haki sawa kwa kila Mtanzania kuchagua viongozi wake, yaani haki ya kupiga kura ni kwa Watanzania wote, na vivyo hivyo, haki ya kuchaguliwa pia ilitolewa kwa Watanzania wote, kupitia kugombea uangozi, haki hiyo ya kuchaguliwa ikaja kuporwa kwa kuchomekewa vipengele vilivyoipora haki hiyo.

Lengo la makala hii ni kuiangazia haki hii muhimu iliyoporwa ili jicho la haki la rais wetu Mama Samia liiangazie haki hii muhimu na kuirejesha kwa Watanzania.

Jee fupa hili lililowashinda watangulizi wake mijibaba, jee Mama ataliweza
Andamana nami katika makala hii.

Nakutakia Jumapili Njema

Paskali
Tunamtakia mafanikio hasa kwenye upigaji wa kwenye magari,posho na mishahara ya waliotumbuliwa nk
 
Naona unauma na kupuliza.
Nimeuma wapi na kupuliza?
Baada ya hiyo Makala yako ya kujiosha kwa watanzania, utarudi kuja kuinanga Chadema. Kutetea mafisadi
Kujiosha kwa lipi?. Niinange Chadema kwa lipi?.
Kutetea mafisadi gani?.
hakutakusaidia.
Mkuu Akasankara , sisi waandishi wa habari ni noble professionals kama madaktari, waalimu na wahubiri, kazi yetu ni kusaidia jamii na sio kitu cha kunisaidia mimi, hii ya kusema hakutakusaidia, it's as if naandika jf ili kunisaidia mimi kitu!. Mimi naandika kusaidia jamii, mwalimu anafundisha kuelimisha jamii, daktari anatibu kuiponyesha jamii, muhubiri anahubiri kusaidia jamii. Mwandishi wa habari anaandika kuihabarisha na kuielisha jamii.
P
 
Na Nyerere unaye mtaja alikwambia watu mlio filisika sera kichwani kama wewe huwa mnatumia udini, ukabila na ubaguzi wa kila aina kushibisha matumbo yenu.
Mkuu Lituye, nitakushukuru sana kama utanionyesha hata mstari mmoja tuu wa ubaguzi, udini au ukabila katika hoja iliyopo mezani.
P
 
Mayalla aliandika kuikosoa Serikali ya Magufuli hadi akaitwa kuhojiwa na Bunge

Mayalla pia kwenye mkutano wa waandishi wa habari na Magufuli ndio alikuwa muandishi pekee aliyemuuliza Magufuli kuhusu kuvunja katiba huku waandishi wetu wengine wakimsifia
Mkuu Johnny Sack , asante kwa kusaidia kuwaelimisha hawa madogo humu kuhusu sisi malegendari.
P
 
Dk Kigwangala akiwa waziri wa utalii aliweza kupandisha idadi ya watalii kutoka laki nane kwa mwaka mpaka millioni 1.5 kwa mwaka, vigogo kadhaa walifika kutalii nchi yetu ,mfano Barack Obama na familia yake ,David Beckham walitalii mbuga ya serengeti mwaka 2018 bila ya royal tour wala nini. Ni mpaka baada ya kuibuka kwa ugonjwa wa corona mwaka 2019 nchi nyingi zikaweka lockdown na kufungia raia wake na mipaka yake ndipo watalii wakapungua Tanzania.
Sasa imeibuka tabia ya kutaka kuhalalisha ulaji wa billioni 7 za walipa kodi wa Tanzania kwenye filamu ya royal tour kwa kuhusisha kila mtalii anayekuja Tanzania eti ameletwa na hiyo filamu!!
Sasa tuambieni hii filamu ya royal tour imewawezesha kupokea watalii wangapi kwa mwezi na hapo kabla ya lockdown za Corona mlikuwa mnapokea watalii wangapi kwa mwezi? Ili tuweze kupima tija ya hii filamu yenu.
Dk Kigwangala jitokeze uweke rekodi sawa vinginevyo unajengewa picha kwamba hamna chochote ulichofanya kwenye wizara ya utalii.
Mkuu Bikirajohola , asante sana kuchangia uzi huu, hoja iliyo mezani ya uzi huu ni mambo very serious ya constitutional issues zakuhusu haki na sio mambo ya utalii na Royo Tua.
P
 
Mzee P kamuulize Rais Mstaafu wa ZNZ Dr Shein
Mkuu TumainiEl, nimuulize nini Dr. Shein?, maana nammudu!.
nakama utakuwa na namba ya yule jamaa anafufuwa watu kamfufuwe Maalimu wa Cuf
Sio tuu namba ya yule jamaa anayefufua watu, ninayo, bali ni jamaa yangu na homeboy wangu, tumfufue Maalim Seif wa nini?, what for?, aje kufanya nini?.
ndipp utarudi nakusema kuwa Rais Tanzania nisawa nakupoteza ticket ya kwenda Mbinguni..
Kwani urais ni ticket ya kwenda mbinguni?. Kivipi?.
Ndio maana bwana yuke akaona isiwe shida kama kura na ushindi unapatikana hivi wana chichiemu wote watakuwa wabunge maana mm siomnafiki. Basi ikawa.. sasa sidhani kama ataweza. Sorry
Wajameni, kama kuna aliyeelewa para hii, anisaidie!
P
 
Kuna watu wamefungwa na wengine kupigwa Risasi kwaajili ya kuikosoa CCM na bado wamebakia na misimamo yao kuiona CCM ni janga la kitaifa
Ukinitajia hata mtu mmoja tuu aliyefungwa na aliyepigwa risasi kwa kuikosoa CCM, nitakushukuru.
sembuse huyo mchumia tumbo Mayala bwana.
Mayala anapigania uteuzi na ana njaa kali haandiki kitu kwa faida ya watu.
Duh...!.
P
 
Wanabodi,

Swali la makala ya leo ni "Je wajua kuna fupa fulani la dhulma fulani inayofanywa kwa Watanzania?. Fupo hilo la dhulma hiyo, liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, tena wote hao ni marais wanaume, wakitegemewa ni majabali, lakini fupa hili liliwashinda!. Rais Samia, japo ni rais Mwanamke, ameisha onyesha kwa kauli na matendo, yeye ni mpenda haki na mtenda haki kuliko hata marais waliomtangulia. Jee Mama Samia ataliweza fupa hili?.

Fupa lenyewe ni haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Katiba yetu ya mwaka 1977, ilitoa haki sawa kwa kila Mtanzania kuchagua viongozi wake, yaani haki ya kupiga kura ni kwa Watanzania wote, na vivyo hivyo, haki ya kuchaguliwa pia ilitolewa kwa Watanzania wote, kupitia kugombea uangozi, haki hiyo ya kuchaguliwa ikaja kuporwa kwa kuchomekewa vipengele vilivyoipora haki hiyo.

Lengo la makala hii ni kuiangazia haki hii muhimu iliyoporwa ili jicho la haki la rais wetu Mama Samia liiangazie haki hii muhimu na kuirejesha kwa Watanzania.

Jee fupa hili lililowashinda watangulizi wake mijibaba, jee Mama ataliweza
Andamana nami katika makala hii.

Nakutakia Jumapili Njema

Paskali
Hii ngoma inatua Bungeni leo baada ya kipindi cha maswali na majibu Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii
P
 
Wanabodi,.

Lengo la makala hii ni kuiangazia haki hii muhimu iliyoporwa ili jicho la haki la rais wetu Mama Samia liiangazie haki hii muhimu na kuirejesha kwa Watanzania.

Jee fupa hili lililowashinda watangulizi wake mijibaba, jee Mama ataliweza
Andamana nami katika makala hii.

Nakutakia Jumapili Njema

Paskali

Hii ni zawadi yangu kwa Birthday ya Mama leo, nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.

Pigania katiba mpya itakayokupa haki unazozitamani usitegemee hisani na huruma za watawala wanasiasa.
 
Back
Top Bottom